Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Wewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.
Mbona rais wa Ukraine anapingana na Russia tumia akili ethnic Ukraine wangeshaandamana kuwa upande wa russia, kuwa upande wa russia hakuna faida yeyote tofauti na kuwa upande wa Europe
 
Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?

Ndio maana wakienda viongozi wengine kule Moscow yeye aweka ile meza kubwa usimsogelee.
 
Raisi wa Russia Vladmir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo huru ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru.

Majimbo haya mawili yaliyo upande wa mashariki mwa Russia, ndio kiini cha mzozo unoendelea unaozihusu nchi za Ukraine, NATO, Russia, Marekani na nchi za magharibi.

Pia raisi Putin atasaini amri (decree) ya kutambua eneo zima lijulikanalo kama Donbass kama eneo la Russia.

Baada ya kutangaza uamuzi huo wa Russia, kiongozi huyo wa Russia ataamuru majeshi ya Russia kuingia katika majimbo hayo ili kulinda maslahi ya Russia kiusalama na kijeshi.

Raisi wa Ufaransa Emmanule Macron ameitisha kikaao cha dharura cha umoja wa mataifa ambapo suala la uamuzi wa Russia kutambua majimbo ya Donetski na Luhansk litajadiliwa.

Wakati huohuo Russia imeitisha kikao cha dharura umoja wa mataifa kujadili suala la Ukraine baada ya mkuu wa majeshi ya Russia kusema kwamba Ukraine imeweka majeshi yapatayo 60,000 katika eneo la Donbass.

Putin anadai kwamba kiongozi wa ilokuwa USSR Lenin alifanya maamuzi ya kimakosa katika kuangalia mipaka ya USSR na ndio kiini cha matatizo ya leo hii.
Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
 
tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Huo mkataba uliosainiwa ili "NATO isijitanue" uko wapi?

Mbona hauwekwi hadharani dunia ikapata kuuona?

Hii hoja kwamba "NATO walikubaliana na Urusi" imeshamiri sana humu hasa kipindi hiki. Ingependeza sana kama hoja hiyo ingeambatanishwa na uthibitisho wa mkataba huo!
 
Akili za putin anazijua mwenyewe.. [emoji23], hapa Ukraine lazima atulize akili akifanya mzaha nchi yake itabaki magofu, wahuni watajaribia zana zao kwao, toka awali nilisema, russia ataingia donbass kwa kivezo cha kulinda watu wake, hivyo hata kama ni marekani kupigana nae hawatopiga kule urusi ila vita itapiganwa hapo hapo kwa ukraine,watu wapimane ubavu, na wakilegea hii donbass ikaenda basi wajue huku mbele mpaka kiev itasombwa.
 
Sema haujaamua kusumbua akili yako mkuu tu
 
Putin katafuta sababu mkuu, kaingiza majeshi kulinda raia sasa qnasubiri kiherehere yyt aguse kifaa chake chochote ana askari wake, ukraine inakwenda na maji kama Yugoslavia[emoji28]
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]humjui vzr ww, nyamaza tu
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
 
Back
Top Bottom