Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Mbona rais wa Ukraine anapingana na Russia tumia akili ethnic Ukraine wangeshaandamana kuwa upande wa russia, kuwa upande wa russia hakuna faida yeyote tofauti na kuwa upande wa EuropeWewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.