Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema Ukraine ilijengwa na Urusi na inabaki kwenye historia ya Urusi. Jamani kati ya walinzi wa Putin hakuna Yuda walau ampige risasi moja ya kisogo Unaa
Lenin ndie alieiunda Ukraine na maamuzi ambayo hayakuwa sahihi, hiyo ndio hoja ya Putin.Anasema Ukraine ilijengwa na Urusi na inabaki kwenye historia ya Urusi. Jamani kati ya walinzi wa Putin hakuna Yuda walau ampige risasi moja ya kisogo ?
Maamuzi magumu "kwa maslahi ya taifa" kama yale ya Hitler yaliyochochea Vita ya Pili ya Dunia?!Siku zote kiongozi anechukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa ni kiongozi sahihi.
Acha unafiki wewe ili dunia itulie inahitaji wanaume kama hawa usa kila siku anaharibu maisha ya watu cheki libya , Iraq, Iran, Venezuela na Zimbabwe kwa kuzivamia na kuwekea vikwazo Putin ndo mwanaume pekee anamtisha usa na ili dunia ikae sawa ni lazima kuwe na balance of power.Putin ni hatari kwa hii dunia. Yaani natamani afe tu. Dictator mkubwa huyu.
Putin ni former spymaster ni mjuvi wa masuala mengi yanohusu Russia.Maamuzi magumu "kwa maslahi ya taifa" kama yale ya Hitler yaliyochochea Vita ya Pili ya Dunia?!
Hii kauli imenifanya niamini Luganski na donbass zinakwemda na maji leo, anasema HE THINK THE WESTERN POWERS WILL IMPOSE SANCRIONS NO MATTER WHATRaisi wa Russia Vladmir Putin usiku huu anatarajiwa kutangaza majimbo huru ya Donetsk na Luhansk kama majimbo huru.
Majimbo haya mawili yaliyo upande wa mashariki mwa Russia, ndio kiini cha mzozo unoendelea unaozihusu nchi za Ukraine, NATO, Russia, Marekani na nchi za magharibi.
Pia raisi Putin atasaini amri (decree) ya kutambua eneo zima lijulikanalo kama Donbass kama eneo la Russia.
Baada ya kutangaza uamuzi huo wa Russia, kiongozi huyo wa Russia ataamuru majeshi ya Russia kuingia katika majimbo hayo ili kulinda maslahi ya Russia kiusalama na kijeshi.
Raisi wa Ufaransa Emmanule Macron ameitisha kikaao cha dharura cha umoja wa mataifa ambapo suala la uamuzi wa Russia kutambua majimbo ya Donetski na Luhansk litajadiliwa.
wakati huohuo Russia imetisha kikao cha dharura umoja wa mataifa kujadili suala la Ukraine baada ya mkuu wa majeshi ya Russia kusema kwamba Ukraine imeweka majeshi yapatayo 60,000 katika eneo la Donbass.
Putin anadai kwamba kiongozi wa ilokuwa USSR Lenin alifanya maamuzi ya kimakosa katika kuangalia mipaka ya USSR na ndio kiini cha matatizo ya leo hii.
Acha uongo nduguNi majimbo ambayo warusi wa Russia ndio wanashakilia na wanapigana na Ukraine ambayo haitaki kuona majimbo hayo yanajitenga.
Nchi za NATO na Marekani walitaka kutumia mwanya huo kuisaidia Ukraine kuwasambaratisha waasi hao na kuifanya Ukraine kichaka chao.
tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekeeKumbe Urusi ilishakataliwa kujoin NATO?Naona Putin anatema cheche. Wao walikataliwa ila why nchi jirani na yeye zinakubaliwa ?Kazi ipo.
Putin amesaini tiyari decree kutambua majimbo hayo.Acha uongo ndugu
mwaka 2014 rais wa Ukrain alitaka Ukraine iegemee upande wa Russia wananchi wa Ukraine wanataka kua upande wa ulaya rais wao wa kipindi hicho Viktor Fedorovych Yanukovych akaondolewa na wimbi la maandano wakamtoa akamimbilia Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Putini kwa hasira akachukua Crimea na upande wa mashabiki wa Ukraine ethinc Russia ambao ni majority wakawa wanamuunga Viktor Yanukovych na Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Russian wanawachukulia Ukraine na Belarusian kama sehemu ya ethnic Russian, Ukraine wanataka kua upande wa ulaya na kujiunga Nato
Vijana wengi wa sasa hivi wanakimbia kusoma uzuri historia.tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Wewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa Rais hakuwa upande wao, hivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann Rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo maana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.Acha uongo ndugu
mwaka 2014 rais wa Ukrain alitaka Ukraine iegemee upande wa Russia wananchi wa Ukraine wanataka kua upande wa ulaya rais wao wa kipindi hicho Viktor Fedorovych Yanukovych akaondolewa na wimbi la maandano wakamtoa akamimbilia Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Putini kwa hasira akachukua Crimea na upande wa mashabiki wa Ukraine ethinc Russia ambao ni majority wakawa wanamuunga Viktor Yanukovych na Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Russian wanawachukulia Ukraine na Belarusian kama sehemu ya ethnic Russian, Ukraine wanataka kua upande wa ulaya na kujiunga Nato
Maana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama YugoslaviaPutin amesaini tiyari decree kutambua majimbo hayo.
Majimbo hayo yana raia milioni 4 hivyo yanahitaji ulinzi wa Russia.