Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Haelewi chochote huyo,wee mwache TU.
Mtu anasema eti Ukraine iachwe ijiunge NATO..kweli?
Yaani NATO iwe dirishani mwa Urusi,kweli?
Watu wengine hawajui hata masuala ya usalama.
 
Haelewi chochote huyo,wee mwache TU.
Mtu anasema eti Ukraine iachwe ijiunge NATO..kweli?
Yaani NATO iwe dirishani mwa Urusi,kweli?
Watu wengine hawajui hata masuala ya usalama.
Ni kuwasamehe tu yani umruhusu mgoni wako ajenge kwenye uwanja wako ambapo mke wako anapita na kanga moko daily...
 
Putin alikuwa KGB kabla hajawa FSB na kituo chake cha kazi ilikuwa ujerumani wakati wa boris yeltsin putin alikuwa katika top rank ya intelligence house ya russia sasa hakuna asichokijua everything is well calculated
 
Yaani covid imesimamisha michakato for almost two years. Halafu huyu msengerema Putin analeta ununda wa kifala hapa
Inasikitisha Ila labda ndio mwisho wake huo maana njia za Mungu ni za ajabu, anaweza kuruhusu ujiinue kumbe ndiko kuanguka Kwako. Japo binafi napenda dunia iwe balanced, vinginevyo akibaki Mbabe Mmoja anaweza kuamuru chochote hata KUOGA HADHARANI
 
Wanaomu underate russia wakasome dude linaitwa tsar bomber au the weapon of last resort ndio bomu kubwa la nyuklia kuwahi kutengenezwa dunia haijapata tokea mpaka leo na toka kuumbwa kwa ulimwengu na hiyo ni mwaka 1961 wakati cc ndio tunapata uhuru sasa jiulize huyu mtu leo atakuwa wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…