Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Haelewi chochote huyo,wee mwache TU.
Mtu anasema eti Ukraine iachwe ijiunge NATO..kweli?
Yaani NATO iwe dirishani mwa Urusi,kweli?
Watu wengine hawajui hata masuala ya usalama.
 
Yaani covid imesimamisha michakato for almost two years. Halafu huyu msengerema Putin analeta ununda wa kifala hapa
Inasikitisha Ila labda ndio mwisho wake huo maana njia za Mungu ni za ajabu, anaweza kuruhusu ujiinue kumbe ndiko kuanguka Kwako. Japo binafi napenda dunia iwe balanced, vinginevyo akibaki Mbabe Mmoja anaweza kuamuru chochote hata KUOGA HADHARANI
 
Wanaomu underate russia wakasome dude linaitwa tsar bomber au the weapon of last resort ndio bomu kubwa la nyuklia kuwahi kutengenezwa dunia haijapata tokea mpaka leo na toka kuumbwa kwa ulimwengu na hiyo ni mwaka 1961 wakati cc ndio tunapata uhuru sasa jiulize huyu mtu leo atakuwa wapi?
 
Back
Top Bottom