lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Haelewi chochote huyo,wee mwache TU.tulia ww urusi alikuwa na nato yake kama unafuatilia historia waliasini Warsaw pact ambayo ilivunjika 1991 na walisaini mkataba na nato asijitanue east Europe sasa nato wanakiuka makubaliano unataka Putin awachekee
Mtu anasema eti Ukraine iachwe ijiunge NATO..kweli?
Yaani NATO iwe dirishani mwa Urusi,kweli?
Watu wengine hawajui hata masuala ya usalama.