lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Safiiiiiii,safi sana.Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?
Ndio maana wakienda viongozi wengine kule Moscow yeye aweka ile meza kubwa usimsogelee.
walau hapa umesema lamaana[emoji122][emoji122][emoji871]Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
Kweli kabisa 💯 nice strategic planMaana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama Yugoslavia
Mimi binafsi sina upande. Nina mawazo huru.walau hapa umesema lamaana[emoji122][emoji122][emoji871]
Yah Kwenye suala la silaha. Russia ni giant .....thats y huwezi sikia marekani anasema atapeleka vikosi kupigana na Russia.....Wanaomu underate russia wakasome dude linaitwa tsar bomber au the weapon of last resort ndio bomu kubwa la nyuklia kuwahi kutengenezwa dunia haijapata tokea mpaka leo na toka kuumbwa kwa ulimwengu na hiyo ni mwaka 1961 wakati cc ndio tunapata uhuru sasa jiulize huyu mtu leo atakuwa wapi?
Na jukumu lake kubwa lilikuwa ni kuangazia majasusi wa kigeni yaani "counter intelligence". Hivyo akikuambia kwamba Zelenski ni kibaraka anaetumiwa na nchi za magharibi itabidi uamini kwa kiasi fulani.Putin alikuwa KGB kabla hajawa FSB na kituo chake cha kazi ilikuwa ujerumani wakati wa boris yeltsin putin alikuwa katika top rank ya intelligence house ya russia sasa hakuna asichokijua everything is well calculated
Putin kawekwa urusi hapo kwa kazi maalumu.Silipendagi hili senge.
Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
Nasema hivi Putin atakufa kabla hajaivamia Ukraine. Anajiona yeye ni nani?Nimemsikiliza hotuba yake inaonekana kabisa adui yake ni USA. Si akavamie Alaska huko ?Stupid.
Aaaaah Mkuu,acha hizo bana,Putin sio wa kucheza drafti,mchezo wa vilaza.Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
Daaaaah yule mzee ....Putin unaweza kuhisi ni muoga.....kumbe..Mlikuwa mnabweka kwamba Russia kasanda kumbe mnachorwa tu
yupo zake rangi tatu anakula miguu ya kuku anatapika tuu ugoro[emoji4][emoji16][emoji16]Mkuu mbona unamtusi sana Putin kwani uko ardhi ya Kiev nn
Ha ha haa.Atakufa Kama jiwe
We mmatumbi wa huko wa kinjumbi kilwa Mambo ya urusi yanakihusu nnSilipendagi hili senge.
Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
Aahah hahaha ah aha ha ha haa.View attachment 2126559ndio maana wamarekani walikimbia ukrein hapo fast sana