Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?

Ndio maana wakienda viongozi wengine kule Moscow yeye aweka ile meza kubwa usimsogelee.
Safiiiiiii,safi sana.
Viongozi makini wanatakiwa kuwa hivi.
 
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
walau hapa umesema lamaana[emoji122][emoji122][emoji871]
 
Maana ya kusaini ni kwamba majeshi ya russia yanaruhusiwq kuingia rasmi eneo husika kwa ajili ya ulinzi, na wale wahuni walivyo washenzi wakikamilisha mishe hii wanahamia jimbo lingine vuguvugu linaanza wanakuja kusaini linakwenda mpaka ile ukraine iishe kama Yugoslavia
Kweli kabisa 💯 nice strategic plan
 
Wanaomu underate russia wakasome dude linaitwa tsar bomber au the weapon of last resort ndio bomu kubwa la nyuklia kuwahi kutengenezwa dunia haijapata tokea mpaka leo na toka kuumbwa kwa ulimwengu na hiyo ni mwaka 1961 wakati cc ndio tunapata uhuru sasa jiulize huyu mtu leo atakuwa wapi?
Yah Kwenye suala la silaha. Russia ni giant .....thats y huwezi sikia marekani anasema atapeleka vikosi kupigana na Russia.....


.but utasikia ......anatumia neno SUNCTIONS


Pia Kuna bunduki pendwa Ak47 .......pamoja na kuwa ni ya kitambo ....ile ngoma ata ukizama nayo kwenye tope .....haita jum...
 
Putin alikuwa KGB kabla hajawa FSB na kituo chake cha kazi ilikuwa ujerumani wakati wa boris yeltsin putin alikuwa katika top rank ya intelligence house ya russia sasa hakuna asichokijua everything is well calculated
Na jukumu lake kubwa lilikuwa ni kuangazia majasusi wa kigeni yaani "counter intelligence". Hivyo akikuambia kwamba Zelenski ni kibaraka anaetumiwa na nchi za magharibi itabidi uamini kwa kiasi fulani.
 
Silipendagi hili senge.

Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
Putin kawekwa urusi hapo kwa kazi maalumu.
Sio kawekwa na wanadamu,Bali kawekwa na yeye mwenyewe.anauejulikana kama"Niko ambae Niko".
Bila Putin au nchi yake Dunia nzima tungekua tuapokea amri kutoka hukoo.
 
Putin katafuta sababu ya kuingiza majeshi ili wakigusa tu moto uwake apate sababu kwamba alikwenda kutoa ulinzi kwa majimbo yaliyojitenga, sasa waguse kifaa cha russia moto unawaka mazima na ukraine inakwenda na maji. Kacheza kete moja matata sana Putin ktk hili draft
Aaaaah Mkuu,acha hizo bana,Putin sio wa kucheza drafti,mchezo wa vilaza.
Putin kacheza Chess moja matata sana.
 
Thus, it was modified to yield 50 megatons, which was estimated to be about 3,800 times the strength of the U.S. bomb dropped on Hiroshima during World War II.
 
Silipendagi hili senge.

Dunia imechoka hizi drama. Mara covid mara huu ujinga. Qumamayo wewe Putin
We mmatumbi wa huko wa kinjumbi kilwa Mambo ya urusi yanakihusu nn

SS tulime TU hayo n Mambo Yao

Hv mkuu na sisi tuchukue Jimbo la CABO DELGADO liwe chin ya Tanzania au unaonaje?

Au mkoa wa mzuzu Malawi tuchukue?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bomu la tsar bomba lilikuwa kubwa mara 3800 kulinganisha na mabomu yaliyodondoshwa hiroshima na nagasaki.
 
Hebu jiulize kama hiroshima na nagasaki zilifutika vile je tsar bomba yenye ukubwa mara 3800 ingefanya damage kubwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom