lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Safiiiiiii,safi sana.Putin anafahamu hilo (la kuuawa) na wafahamu ni majaribio mangapi jamaa kapitia?
Ndio maana wakienda viongozi wengine kule Moscow yeye aweka ile meza kubwa usimsogelee.
Viongozi makini wanatakiwa kuwa hivi.