Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Andika vizuri basi/una hoja nzuri but tatizo ni uwasilishaji duhh
Acha uongo ndugu
mwaka 2014 rais wa Ukrain alitaka Ukraine iegemee upande wa Russia wananchi wa Ukraine wanataka kua upande wa ulaya rais wao wa kipindi hicho Viktor Fedorovych Yanukovych akaondolewa na wimbi la maandano wakamtoa akamimbilia Russia ndo mgogoro ulipoanzia

Putini kwa hasira akachukua Crimea na upande wa mashabiki wa Ukraine ethinc Russia ambao ni majority wakawa wanamuunga Viktor Yanukovych na Russia ndo mgogoro ulipoanzia

Russian wanawachukulia Ukraine na Belarusian kama sehemu ya ethnic Russian, Ukraine wanataka kua upande wa ulaya na kujiunga Nato
 
Wewe ndo muongo usiyejua na bora unyamaze tu, umemezeshwa propaganda za BBC. Yale maandamano yaliandaliwa na kupangwa na CIA na FBI kisa rais hakuwa upande wao, ivyo 2akapanga kumuondoa, haukujiuliza kwann rais aliyetoka na kupisha zelinski alitaka kuongeza muda raia wakagoma? Na ndo mana Cremia ikaenda na maji na leo Luganski na Donbass nazo zinakwenda na maji, lisha wanahamia wahuni eneo lingine, mpaka Ukraine iishe kama ilivyoisha Yugoslavia.
Kwa CIA kuandaa maandamano ni sawa,ila FBI hii ni chai

Sent from my Infinix X690 using JamiiForums mobile app
 
Kwani Yeye ni Mungu ? Ni binadamu kama sisi tu. Kuja tusubiri majibu ya Jo Biden .Ndo wale wale tu.US walitambua Jérusalem kama makao makuu ya Israel. Wakaitambua pia Taiwan. Russia na USA wanatuharibia dunia yetu.
@Victoire naona upo emotional,naomba nkuambie kitu Putin kabla ya kua raisi alikua ajenti wa kgb,alikua dereva tax pindi USSR ilipoanguka,kipindi boris anatia aibu za kutoonesha manly behaviors,n mwanadam mwenye kuamn katika falsafa za kujiamn
 
Siwezi mpenda binadamu anaetaka vita kisa ego tu. Mtu anafunga watu wanaompinga. Wananchi wake wanaishi kwa taabu.
Victorie nakupendaga sana dada yangu.
Lakini Putin ama Russia wala sio wapenda vita kama USA.
Unajua USA anatamani sana kuizunguka Urusi kwa kuweka silaha zake?
Je Urusi anyamaze TU.
Unajua sula la ulinzi na usalama wa nchi ndio ajenda namba moja ya nchi yoyote?

Unafahamu huyuhuyu Marekani aliwahi kupelela makombora ya nyukilia Uturuki ili kumlenga Urusi ya zamani?
Unafahamu majibu ya Urusi kwa jambo hilo?

Urusi naye akapeleka silaha za nyukilia Cuba.
Unafahamu Nini kilitokea?
Ni Marekani alikubali kuondoa haraka sana nyukilia zake na Urusi ndipo nae akaondoa Nyukilia zake Cuba.
Sasa bado Marekani anatamani sana kuizunguka Urusi kijeshi,na Urusi hakubali.
Ndio sokomoko lote hilo.
Hebu fikiria Marekani Yuko ma maili na ma kilometa mbali kabisa huko Huku ulaya anatafuta Nini na NATO yake?
Yeye hakai ulaya NATO ya Nini?
Urusi anapenda kuishi kwa amani sana na Europe ili wafanye biashara,awauzie gesi na mbogamboga na mafuta,nae anunue vitu kwao.USA hapendi Hali hii.
USA hapendi mradi wa Bomba la gesi kutoka Urusi kwenda Ujerumani na ulaya.anajua Urusi itafanikiwa sana kiuchumi ndio Kaanzisha fitina hizi ili kumzuia .na baadae aje kuwaambia euro wamuwekee vikwazo ili kumlostisha.
Urusi anapenda kufanya biashara na kushirukiana na Ulaya, Marekani hapendi Hali hii ndio anawachonganisha,anaforce kujiunga Ukraine katika NATO.

Pia Ukraine kujiunga na NATO ni hatari kwa usalama wa Urusi,kwani itakua rahisi kuichunguza Urusi na hata ikitokea vita huko mbeleni inakua rahisi kwa UsA na NATO kuivamia ama kuishambulia Urusi.
Urusi wanalijua hilo,na wako tayari kupoteza uchumi lakini walindw taifa lao kwa gharama yoyote ile.na ndio unaona haya Leo hii.
Urusi ni taifa la kiungwana sana na Putin sio mtu katili.
Kuhusu kufunga wapinzani wake,hayo Sasa Mimi siwezi kuyaelezea kwa sababu hizo ni siasa za ndani sijui chochote inawezekana kweli wanamakosa ama anawaonea TU.sijui kitu.
 
Hebu jiulize kama hiroshima na nagasaki zilifutika vile je tsar bomba yenye ukubwa mara 3800 ingefanya damage kubwa kiasi gani?
Tsar bomba utalibebea nini au unahisi waliogundua intercontinental ballistic missiles walikuwa wajinga. Yaani utoke na lindege lako Tu-160 ambalo lazima ulifanyie modifications ndio libebe tsar bomba ni leo. Free fall bomb sio deal tena kwa nchi zenye ulinzi mkali wa anga. Tsar bomba zilitengenezwa mbili, moja likafanya testing na jingine likabaki tena yawezekana bila kuwa completed.
Bora ungesema hata cruise missiles kama Raduga na Kalibr
 
Victorie nakupendaga sana dada yangu.
Lakini Putin ama Russia wala sio wapenda vita kama USA.
Unajua USA anatamani sana kuizunguka Urusi kwa kuweka silaha zake?
Je Urusi anyamaze TU.
Unajua sula la ulinzi na usalama wa nchi ndio ajenda namba moja ya nchi yoyote?

Unafahamu huyuhuyu Marekani aliwahi kupelela makombora ya nyukilia Uturuki ili kumlenga Urusi ya zamani?
Unafahamu majibu ya Urusi kwa jambo hilo?

Urusi naye akapeleka silaha za nyukilia Cuba.
Unafahamu Nini kilitokea?
Ni Marekani alikubali kuondoa haraka sana nyukilia zake na Urusi ndipo nae akaondoa Nyukilia zake Cuba.
Sasa bado Marekani anatamani sana kuizunguka Urusi kijeshi,na Urusi hakubali.
Ndio sokomoko lote hilo.
Hebu fikiria Marekani Yuko ma maili na ma kilometa mbali kabisa huko Huku ulaya anatafuta Nini na NATO yake?
Yeye hakai ulaya NATO ya Nini?
Urusi anapenda kuishi kwa amani sana na Europe ili wafanye biashara,awauzie gesi na mbogamboga na mafuta,nae anunue vitu kwao.USA hapendi Hali hii.
USA hapendi mradi wa Bomba la gesi kutoka Urusi kwenda Ujerumani na ulaya.anajua Urusi itafanikiwa sana kiuchumi ndio Kaanzisha fitina hizi ili kumzuia .na baadae aje kuwaambia euro wamuwekee vikwazo ili kumlostisha.
Urusi anapenda kufanya biashara na kushirukiana na Ulaya, Marekani hapendi Hali hii ndio anawachonganisha,anaforce kujiunga Ukraine katika NATO.

Pia Ukraine kujiunga na NATO ni hatari kwa usalama wa Urusi,kwani itakua rahisi kuichunguza Urusi na hata ikitokea vita huko mbeleni inakua rahisi kwa UsA na NATO kuivamia ama kuishambulia Urusi.
Urusi wanalijua hilo,na wako tayari kupoteza uchumi lakini walindw taifa lao kwa gharama yoyote ile.na ndio unaona haya Leo hii.
Urusi ni taifa la kiungwana sana na Putin sio mtu katili.
Kuhusu kufunga wapinzani wake,hayo Sasa Mimi siwezi kuyaelezea kwa sababu hizo ni siasa za ndani sijui chochote inawezekana kweli wanamakosa ama anawaonea TU.sijui kitu.

Objective
 
Back
Top Bottom