Andika vizuri basi/una hoja nzuri but tatizo ni uwasilishaji duhh
Acha uongo ndugu
mwaka 2014 rais wa Ukrain alitaka Ukraine iegemee upande wa Russia wananchi wa Ukraine wanataka kua upande wa ulaya rais wao wa kipindi hicho Viktor Fedorovych Yanukovych akaondolewa na wimbi la maandano wakamtoa akamimbilia Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Putini kwa hasira akachukua Crimea na upande wa mashabiki wa Ukraine ethinc Russia ambao ni majority wakawa wanamuunga Viktor Yanukovych na Russia ndo mgogoro ulipoanzia
Russian wanawachukulia Ukraine na Belarusian kama sehemu ya ethnic Russian, Ukraine wanataka kua upande wa ulaya na kujiunga Nato