Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Rais Putin kutangaza usiku huu Russia kutambua rasmi majimbo huru yaliyojitenga ya Donetski na Luhansk

Unavyodhani ni nani anayeumia hapo? Hao wanaoweka vikwazo yatawarudia wenyewe wananchi wao watakapoanza kuona uchungu wa kununua gesi kwa bei ghali.
Iyo gesi Kwan ina uzwa na nchi Moja?Ujeruman ni nchi tajili mkuu pia bei za he's duniani ni Moja.
 
Vita nyingine ya dunia hii hapa maana naiona china ikienda kutoa msaada Ukraine
 
Russian FM Lavrov says Moscow wants:

  • Our expectations of Kyiv remain the same, Russia doesn’t change its position “like a girl”
  • We want to 'free Ukraine from oppression'
  • President Putin will hold several int phone calls
  • We want to ensure demilitarisation of Ukraine https://t.co/AT8CWuePp8
 
WHY MOST TAARIFA ZINAONESHA KAMA UKRAINE NA RAIA WAKE NDO WANASHAMBULIWA SANA

INAMAANA URUSI WANAJESHI HAWAFI AU NATO KUNA KITU WANATAKA
 
kama kufa ni wote basi naona ni poa tu kuliko wabaki wengine wale bata. HIVI NYIE HAMJACHOKA TU NA HII DUNIA ILIYOJAA UBATILI
Hivi unahakika kweli kama hapa tulipo ndo duniani..!?
 
Hapana, hayo majimbo yanashikiliwa na warusi (raia wa Russia ambao ni waasi na wataka kujitenga)

Russia imekuwa ikiwasaidia waasi hao na sasa yataka kuwatambua rasmi.

Ndo maana baada ya leo usishangae kusikia Russia imeingiza majeshi Ukraine (upande huo wa mashariki) na kulinda
Kuna watu wanapiga kelele Rwanda kuingiza majeshi yake DRC halafu wanamuunga mkono Putin!
 
Back
Top Bottom