The 13
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 2,835
- 3,266
Iyo gesi Kwan ina uzwa na nchi Moja?Ujeruman ni nchi tajili mkuu pia bei za he's duniani ni Moja.Unavyodhani ni nani anayeumia hapo? Hao wanaoweka vikwazo yatawarudia wenyewe wananchi wao watakapoanza kuona uchungu wa kununua gesi kwa bei ghali.