The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Wazungu wana msemo wanasema they don't give a damn or (don't give a f.uck) kwa maana kwamba they don't care about anything or anyone. Hali hii imejitokeza kwa Rais Putin dhidi ya Papa wa Kanisa katoliki.
Papa anasema alimtuma mwanadiplomasia mkuu wa Kanisa aombe mkutano wa Papa na Putin lakini siku nyingi zimepita hawajapata jibu lolote, ni kama vile Putin don't give a damn about anyone except the so called military operations in Ukraine.
Papa anasema amejitolea kukutana na Putin wazungumze lakini Putin hajatoa majibu na jibu la moja kwa moja ni kwamba Putin hataki kukutana na aina yoyote ya waluga luga na hakuna cha kumfanya.
Putin, usisikilize wanafiki, kanyaga twende.
www.reuters.com

Pope wants to visit Moscow to meet Putin over Ukraine - paper
Pope Francis said in an interview published on Tuesday that he asked for a meeting in Moscow with Russian President Vladimir Putin to try to stop the war in Ukraine but had not received a reply.