Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

Huyu atakuwa msabato masalia wale walioweka kambi Airport wakisubiri kwenda kuhubiri Ulaya Injili Mkuu[emoji3][emoji3]
Dah,hongera bado unaiikumbuka hii senema?waliweka kambi nadhani enzi za JK eti wanasubiri ndege sijui .
 
Hakuna nchi Papa anashindwa kwenda, Kwanza unajua kama Vatcan ilihusika kuharibu umoja wa kisoviet? Leo watashindwa nini? Mfano kule China Jesuit wameenda kitambo sana hadi kuwa sehemu ya serikali ya China ya wakati ule, masomo kama ya hesabu na unajimu Vatcan ilihusika sana hiyo ni karne ya 16 leo hao watu watakuwa vipi? Fikiri hii! vyuo vingi vinamilikiwa na Jesuits ili kutoa elimu waitakayo na viongozi wanaongoza mataifa mbalimbali wametoka kwenye hivyo vyuo hapo kunanini tena? Hivi unajua kama USA ni sehemu ya Vatcan?
Hizi ni porojo tu dhibitisha.kama huyo Papa angekuwa anaogopeka azingepuuzwa na warusi ni nyie Tu nchi zisizojiweza mnamnyenyekea.Alafu hata kwenye science hakuna kitu mmarekani anampita Mrusi.hizo ni blabla Tu Kwanza huko China unakosemea ukatoliki ni kama haupo.
 
Back
Top Bottom