Rais Putin usisikilize wanafiki, kanyaga twende

Putin kamdindia Nyangumi sembuse Papa!!!---- tena anaweza kuvurumisha Hypersonic kule Vatican papa awe makini na Put in,🤣
 
Papa ni habari nyingi anatembea huku anapesuka lakini ni hatari sana.
Labda huyo Papa anaweza kuonea nchi dhaifu dhaifu kama zenu lakini nchi ambazo zipo huru na zinajitegemea kiulinzi,kiuchumi na kisiasa kama Russia huyo Papa ni mchumba tu.unaona Putin kakataa kukutana naye Kwa Sababu Ile nchi ni nchi inayojiweza.
 
Putin hana ubavu wa kumchomolea Papa yule ndiye mfalme wa dunia kupitia shirika lake la jesuits, Na kama Putin kafanya hivyo mwisho wake umewadia, Akaulize wakina JFK na Abraham Lincoln nini kiliwapata baada ya kutofautiana na amri ya Papa.
Yes, there you are. Pope ni mwakilishi wa ibilisi duniani. Kila mtu mwenye maarifa ya rohoni alipaswa ajue kuwa Vatican ndiko kulipo na kiti cha enzi cha shetani. kuna mtu hajui kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni ibilisi.

YESU NI BWANA
 
Sehemu moja wapo wanapotofautiana ni kwamba wa orthodox wanapinga mamlaka ya papa wa roman, na wa orthodox wengi wanawaona kanisa la roma kama matapeli tu na huyo papa wao,, wanawaita heretics
Nenda kasome nini kiliwafanya wakagawanyika mwaka wa 950
 
Papa Hana huo ubavu wa kufanya chochote kwa warusi Kwa sababu urusi ni taifa huru lenye nguvu kijeshi,kisiasa,kiuchumi na pia Wana vyombo vya usalama bora Sana.
 
Putin kamdindia Nyangumi sembuse Papa!!!---- tena anaweza kuvurumisha Hypersonic kule Vatican papa awe makini na Put in,[emoji1787]
Doh naona umechukua fani ya kina Masanja mkandamizaji kwa muda mkuu[emoji3]
 
Yes, there you are. Pope ni mwakilishi wa ibilisi duniani. Kila mtu mwenye maarifa ya rohoni alipaswa ajue kuwa Vatican ndiko kulipo na kiti cha enzi cha shetani. kuna mtu hajui kuwa mkuu wa ulimwengu huu ni ibilisi.

YESU NI BWANA
Msabato Masalia [emoji5]
 
Ona hili pimbi. Walokole mnakuaga na ulemavu wa akili sometimes. Ndo pumba gani sasa hii umeandika?
Huyu atakuwa msabato masalia wale walioweka kambi Airport wakisubiri kwenda kuhubiri Ulaya Injili Mkuu[emoji3][emoji3]
 
Labda huyo Papa anaweza kuonea nchi dhaifu dhaifu kama zenu lakini nchi ambazo zipo huru na zinajitegemea kiulinzi,kiuchumi na kisiasa kama Russia huyo Papa ni mchumba tu.unaona Putin kakataa kukutana naye Kwa Sababu Ile nchi ni nchi inayojiweza.
Hakuna nchi Papa anashindwa kwenda, Kwanza unajua kama Vatcan ilihusika kuharibu umoja wa kisoviet? Leo watashindwa nini? Mfano kule China Jesuit wameenda kitambo sana hadi kuwa sehemu ya serikali ya China ya wakati ule, masomo kama ya hesabu na unajimu Vatcan ilihusika sana hiyo ni karne ya 16 leo hao watu watakuwa vipi? Fikiri hii! vyuo vingi vinamilikiwa na Jesuits ili kutoa elimu waitakayo na viongozi wanaongoza mataifa mbalimbali wametoka kwenye hivyo vyuo hapo kunanini tena? Hivi unajua kama USA ni sehemu ya Vatcan?
 
Ni sawa na Umtume Askofu kwa waislam....
Sio mtu muhimu kwao hawajali kuhusu yeye.
Au umlete Mufti kwangu, ntamuona kama wazee wengine tu.
Russians wengi ni Orthodox.....asa katoliki wapi na wapi. Japo sijui Putin dini gani.
Unajua historical ya orthodox church and Roman Catholic?
 
PUT IN ana waprove watu wrong wajue kwamba kuna wababe wengi
pia Duterte nae alisema ukweli ingawaje niukweli mchungu
 
Kaburi la Nabii Adam lipo Iraq,,,,Papa akataka kwenda huko,,,,Sadam hakutaka,,,,,,kilichomkuta Sadam tumekiona!
[emoji23][emoji23][emoji23]
vijana PUT IN sio SADAM acheni kujifariji waambieni NATO wakamtoe no more
 
Putin hana ubavu wa kumchomolea Papa yule ndiye mfalme wa dunia kupitia shirika lake la jesuits, Na kama Putin kafanya hivyo mwisho wake umewadia, Akaulize wakina JFK na Abraham Lincoln nini kiliwapata baada ya kutofautiana na amri ya Papa.
hiish[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…