The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
- Thread starter
-
- #61
Huyo ni super idiot, zero brain.[emoji1][emoji1]View attachment 2210454
Tumekua kapa miaka 30 haya ya sasa kibwagizo tu ....sie sio watoto wakishua kama hao buzi limebinywa linauza club watu wanawewesekaTunataka moja tu sasa mtu arudi zake nyumbani
Dah,hongera bado unaiikumbuka hii senema?waliweka kambi nadhani enzi za JK eti wanasubiri ndege sijui .Huyu atakuwa msabato masalia wale walioweka kambi Airport wakisubiri kwenda kuhubiri Ulaya Injili Mkuu[emoji3][emoji3]
IMAGINE BEING USTunataka moja tu sasa mtu arudi zake nyumbani
Hizi ni porojo tu dhibitisha.kama huyo Papa angekuwa anaogopeka azingepuuzwa na warusi ni nyie Tu nchi zisizojiweza mnamnyenyekea.Alafu hata kwenye science hakuna kitu mmarekani anampita Mrusi.hizo ni blabla Tu Kwanza huko China unakosemea ukatoliki ni kama haupo.Hakuna nchi Papa anashindwa kwenda, Kwanza unajua kama Vatcan ilihusika kuharibu umoja wa kisoviet? Leo watashindwa nini? Mfano kule China Jesuit wameenda kitambo sana hadi kuwa sehemu ya serikali ya China ya wakati ule, masomo kama ya hesabu na unajimu Vatcan ilihusika sana hiyo ni karne ya 16 leo hao watu watakuwa vipi? Fikiri hii! vyuo vingi vinamilikiwa na Jesuits ili kutoa elimu waitakayo na viongozi wanaongoza mataifa mbalimbali wametoka kwenye hivyo vyuo hapo kunanini tena? Hivi unajua kama USA ni sehemu ya Vatcan?
Ona hili pimbi. Walokole mnakuaga na ulemavu wa akili sometimes. Ndo pumba gani sasa hii umeandika?