Inawezekana unasema kweli.Sometimes kuitwa mwafrika ni janga na ni msiba mkubwa
Kuwa mwafrica then mtz ndio nuksi zaidiSometimes kuitwa mwafrika ni janga na ni msiba mkubwa
Yes mkuu,PW Botha alitamka kuwa watu weusi wape uongozi, wataushia kuiba fedha yote,watauana wenyewe kwa wenyewe, ukweli ndio huu we can't prove him wrong, ila SA kuna democracy in the making, politicians wanawajibikaSometimes kuitwa mwafrika ni janga na ni msiba mkubwa
Hapana ndani ya ANC kuna democracy ndio maana President anawajibishwa,ccm kuna udikiteta mkubwa,chairperson wao ni kama nusu MunguANC ni kama CCM tu. Havina maana yoyote
Usilinganishe ANC na hiyo takataka.ANC wanao mfumo wa kuwajibisha rais aliyeko madarakani.CCM inakumbatia wezi walio nadarakani na waliostaafu.ANC ni kama CCM tu. Havina maana yoyote
Kabisaaa Kaka.Sometimes kuitwa mwafrika ni janga na ni msiba mkubwa
Kwetu hata ndege zote zishikilìwi hamna anae ajibika congrats Africa kusini kuajibisha viongozi wenuAuae kwa upanga naye huuawa kwa upanga!
Ripoti ya Kamati maalum iliyoundwa kuchunguza upotevu/wizi wa pesa za umma huko Afrika Kusini imetoka na inamtuhumu moja kwa moja bwana Ramaphosa kuwa alihusika.
Duru zinatabanaisha huenda Rais huyo wa Afrika ya Kusini aliye mfitini mtangulizi wake bwana Zuma atajihudhuru muda wowote kuanzia sasa.
atajiuzuruAuae kwa upanga naye huuawa kwa upanga!