Rais Ramaphosa anafikiria kujiuzulu kutokana na kashfa ya kuficha Mabilioni shambani

atajiuzuru
Ni kujiuzulu

Hivi shuleni mlienda kusomea nini jmn
A168D59E-8347-45D4-A26D-2846786057C5.jpeg
 
ANC wajanja sana. Hii ni mbinu zinazotumika ili wabaki madarakani. Angalia marais wote kuanzia Mbeki , Zuma na sasa Cyril.

Wanatafuta umma wajue wanawajibika kumbe ni mbinu tu.

Hiki chama kimechokwa na raia ila kwa mbinu hizi kitadumu
 
Hivi mwenzetu unakula sio sio sahani moja ya chakula, unavaa sio pea moja ya kivyalo, sio chumba kimoja na kitanda unapo faidi usingizi??
Mipesa yoote umeficha ya nini kama sio tamaa??!
Mkacheze na zuma jela!
 
SA huwachana Live Live wezi wa Mali ya Umma
 
Attachments

  • IMG_7110.MOV
    4.1 MB
Ni kashfa sio ujanja. Mbona mpaka leo Zuma wanamsumbua?. Shida wale Marais wanajali maslahi yao.

ANC wajanja sana. Hii ni mbinu zinazotumika ili wabaki madarakani. Angalia marais wote kuanzia Mbeki , Zuma na sasa Cyril.

Wanatafuta umma wajue wanawajibika kumbe ni mbinu tu.

Hiki chama kimechokwa na raia ila kwa mbinu hizi kitadumu
 
ANC ni kama CCM tu. Havina maana yoyote
Siyo kweli hata kidogo. Zamani kulikuwa na clip moja inatembea mbunge wa upinzani Afrika Kusini (mweusi) alikuwa anasema 'Zuma is a thief' ndani ya bunge, na Spika anamwambia anyamaze lakini wenzake wanampigia makofi kwa nguvu.

Sasa niambie je hapa kwetu ungeweza kufanya hivyo? Tuliona moto wa Ndugai alipoambiwa na Prof Assad kuwa bunge ni dhaifu, wakati Prof hata hakuwa mbunge.
 
Vyanzo mbalimbali ikiwemo Bloomberg vimeripoti kuwa Rais Cyril Ramaphosa yuko kwenye mashauriano na watu wake wa karibu juu ya uamuzi huo kutokana na ripoti ya uchunguzi kuonesha alivunja Katiba ya Nchi.

Ramaphosa anakabiliwa na kashfa ya kuficha zaidi ya Tsh. Bilioni 9 kwenye shamba lake, fedha hizo ziliibwa na wafanyakazi wake ambao inadaiwa aliwateka ili kuwanyamazisha.

Mkuu wa zamani wa Usalama wa Taifa, Arthur Fraser alimfungulia kesi Rais Ramaphosa Juni 2022 juu ya kuficha pesa shambani. Chama Tawala (ANC) kimetangaza kukutana Desemba 16, 2022 kujadili kashfa hiyo.
Subsaharan Africa imejaa ngedere ambao ni sisi , hawa viongozi waliopo madarakani ndio reflection ya jamii yenyewe
 
ANC wanakutana tarehe 04.12.2022, Jumapili kufanya maamuzi magumu
 
Sometimes kuitwa mwafrika ni janga na ni msiba mkubwa
Swali dogo la nyongeza uncle,
Katiba yao haina kinga kwa rais kutoshitakiwa iwe kabla au baada ya kuachia 'ukuhani' wa kiti kama kule Jamuhuri ya watu wa Kusadikika?
 
Sass
ANC wajanja sana. Hii ni mbinu zinazotumika ili wabaki madarakani. Angalia marais wote kuanzia Mbeki , Zuma na sasa Cyril.

Wanatafuta umma wajue wanawajibika kumbe ni mbinu tu.

Hiki chama kimechokwa na raia ila kwa mbinu hizi kitadumu
Sasa huyu wa sasa term moja tu kawekwa kitanzini, afadhal wengine walifika kupind cha Pili. Mbaya Zaid wanaoshadadia wenzao watolewe nao wanatoëewa kibabe..kuanzia zuma kwa mbeki, cyiril Kwa zuma... Sijui nani anaongoza mapambano dhid y cirily Kwa sasa
 
Ngozi nyeusi ni janga la dunia kwa kweli. Dola laki tano zinamtoa moyo tajiri kama huyu na kuitia serikali na Chama chake kwenye matatizo.
 
Back
Top Bottom