sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
Acheni kudanganyana. Ruto akiamua hao ndezi na raila wao wataokota mizoga na itakuwa ndio mwisho wa ujinga wao wa kufanya vurugu.Ruto anamtisha nani? Odinga? Huyo anacheza na moto. Odinga Hana Cha kupoteza pia hao waandamanaji hawana Cha kupoteza maana hawana ajira Wala mitaji ya biashara huku gharama za maisha zipo juu. So akitumia mabavu ajue atasababisha Nairobi iwake moto na kutapakaa nchi nzima.