Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

Rais Ruto adai Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakubaliana kumuunga mkono Odinga kuwa Mwenyekiti wa AU

Wakenya hawana siasa za visasi, na kupinga kila jambo, wakiongea huelewana. Wapinzani wa Tanzania hasa chadema wamejaa chuki, fitna na jazba za kipumbavu.
Politics is the game of Who Gets What, When & How
 
Mwakani JK ana jambo letu nyumban

hatumtoi hata kwa mkopo, labda kuanzia 2026
Ma CCM mwendo wa kujitoa kimasomaso hamjambo. Kwani huyu mzee aliitwa na nani kugombea?

"Mna tenda? Tenda gani? Si mseme tu crdb, wamechukua lori lao?"
 
Odinga kaishawekwa kibindoni, 2027 Rutto atakomba kura zote za Luo nyanza, Rutto ni political master mind, Doyen. Hatma ya Career ya kisiasa ya ndugu Kalonzo musyoka na Martha karua iko mikononi mwa Ndugu Rutto.
Of course Ruto atashinda 2027 nafikiri kwa Raila Kugombea uenyekiti AU ana lay a ground for political exit in Kenyan Politics. Ni kwa wale wenye jicho la mwewe tu wanaweza kuona.

Odinga umri umeenda.
 
Nadhani amewatuma chawa wake wapime upepo! Ndio maana alijichomeka kwenye delegation iliyokwenda kwenye mazishi Namibia ili apate wasaa wa kuonana na viongozi wa Sadc!!
'"Alijichomeka kwenye delegation", aisee haters wa huyu jamaa mna shida sana......mtakufa huku mnatafuna mchana.
 
Back
Top Bottom