Wakenya hawana siasa za visasi, na kupinga kila jambo, wakiongea huelewana. Wapinzani wa Tanzania hasa chadema wamejaa chuki, fitna na jazba za kipumbavu.
Odinga kaishawekwa kibindoni, 2027 Rutto atakomba kura zote za Luo nyanza, Rutto ni political master mind, Doyen. Hatma ya Career ya kisiasa ya ndugu Kalonzo musyoka na Martha karua iko mikononi mwa Ndugu Rutto.
Of course Ruto atashinda 2027 nafikiri kwa Raila Kugombea uenyekiti AU ana lay a ground for political exit in Kenyan Politics. Ni kwa wale wenye jicho la mwewe tu wanaweza kuona.
Nadhani amewatuma chawa wake wapime upepo! Ndio maana alijichomeka kwenye delegation iliyokwenda kwenye mazishi Namibia ili apate wasaa wa kuonana na viongozi wa Sadc!!