Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi..
Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia kuunda serikali mpya yenye sura ya kitaifa kukabaliana na hali halisi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi Kenya..
Pamoja na kwamba waandamanaji wa Gen z bado wanaendeleza harakati zao za kudai mageuzi zaidi ya uongozi, baada ya kufanikiwa kuzuia musuada wa Sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025, lakini bado wamekua wakiibua madai mapya, na kwenda mbali zaidi hata kumtaka Rais Ruto aliechaguliwa Kidemokrasia mwaka 2022, kaachia ngazi..
Ni dhahiri,
Ruto na viongozi hao watatu serikali kuu wanaelekea kufanikiwa kudhibiti hasira za gen z. na katika muda usiokua marefu maandamano hayo yatapoa na kwisha kabisa..
ishara za migawanyiko miongoni mwa gen z, na kutokuelewana wao kwa wao juu ya uelekeo wao na malengo yao mapya, kumewafanya baadhi yao kurudi nyuma na kuendelea na shughuli zoa za kujiongezea kipato..
Mbaya zaidi,
Miongoni mwao wamejibadilisha na kua majambazi, wavamizi, waharbifu na waporaji wa mali za watu lakini pia wakabaji na waporaji wa simu za miongoni mwa waandamanaji wenzao..
Ziara za pamoja za Rais Ruto, Naibu wake na Prime Cabinet Secretary zimepunguza manung'uniko ya wananchi dhidi ya serikali, na sasa wananchi wanakuja pamoja taratibu, pole pole...
Ama kwa hakika,
Uongozi ni kipawa kutoka kwa Mungu. Hekima, Busara, Maarifa na Maono aliyonayo Ruto, yanakwenda kurejesha utulivu Kenya katika muda usiokua marefu..
God bless Kenya 🐒