Roca fella
JF-Expert Member
- May 13, 2023
- 2,077
- 4,152
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes yeah yeah kama ulikuwepo una akili nyingi kijana. 😃😃😃😃😃gen Zs ndio mwenye nyeusi anaeenda kuangukia pua, right?🐒
Sio Dr Samia tena?Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi..
Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia kuunda serikali mpya yenye sura ya kitaifa kukabaliana na hali halisi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi Kenya..
Pamoja na kwamba waandamanaji wa Gen z bado wanaendeleza harakati zao za kudai mageuzi zaidi ya uongozi, baada ya kufanikiwa kuzuia musuada wa Sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025, lakini bado wamekua wakiibua madai mapya, na kwenda mbali zaidi hata kumtaka Rais Ruto aliechaguliwa Kidemokrasia mwaka 2022, kaachia ngazi..
Ni dhahiri,
Ruto na viongozi hao watatu serikali kuu wanaelekea kufanikiwa kudhibiti hasira za gen z. na katika muda usiokua marefu maandamano hayo yatapoa na kwisha kabisa..
ishara za migawanyiko miongoni mwa gen z, na kutokuelewana wao kwa wao juu ya uelekeo wao na malengo yao mapya, kumewafanya baadhi yao kurudi nyuma na kuendelea na shughuli zoa za kujiongezea kipato..
Mbaya zaidi,
Miongoni mwao wamejibadilisha na kua majambazi, wavamizi, waharbifu na waporaji wa mali za watu lakini pia wakabaji na waporaji wa simu za miongoni mwa waandamanaji wenzao..
Ziara za pamoja za Rais Ruto, Naibu wake na Prime Cabinet Secretary zimepunguza manung'uniko ya wananchi dhidi ya serikali, na sasa wananchi wanakuja pamoja taratibu, pole pole...
Ama kwa hakika,
Uongozi ni kipawa kutoka kwa Mungu. Hekima, Busara, Maarifa na Maono aliyonayo Ruto, yanakwenda kurejesha utulivu Kenya katika muda usiokua marefu..
God bless Kenya 🐒
Ruto ana ushawishi hiyo ni kweli Kabisahiyo maana yake Ruto alikua na nguvu na ushawishi ndani ya serikali na nje ya serikali kwa wananchi, kitu ambacho bado anacho mpaka sasa hivi 🐒
Wengine hawajiamini hadi wazimue Kwanza Whiskies za Canada na Ufaransa huku wakimsikilizia Mganga anasemaje.Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi..
Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia kuunda serikali mpya yenye sura ya kitaifa kukabaliana na hali halisi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi Kenya..
Pamoja na kwamba waandamanaji wa Gen z bado wanaendeleza harakati zao za kudai mageuzi zaidi ya uongozi, baada ya kufanikiwa kuzuia musuada wa Sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025, lakini bado wamekua wakiibua madai mapya, na kwenda mbali zaidi hata kumtaka Rais Ruto aliechaguliwa Kidemokrasia mwaka 2022, kaachia ngazi..
Ni dhahiri,
Ruto na viongozi hao watatu serikali kuu wanaelekea kufanikiwa kudhibiti hasira za gen z. na katika muda usiokua marefu maandamano hayo yatapoa na kwisha kabisa..
ishara za migawanyiko miongoni mwa gen z, na kutokuelewana wao kwa wao juu ya uelekeo wao na malengo yao mapya, kumewafanya baadhi yao kurudi nyuma na kuendelea na shughuli zoa za kujiongezea kipato..
Mbaya zaidi,
Miongoni mwao wamejibadilisha na kua majambazi, wavamizi, waharbifu na waporaji wa mali za watu lakini pia wakabaji na waporaji wa simu za miongoni mwa waandamanaji wenzao..
Ziara za pamoja za Rais Ruto, Naibu wake na Prime Cabinet Secretary zimepunguza manung'uniko ya wananchi dhidi ya serikali, na sasa wananchi wanakuja pamoja taratibu, pole pole...
Ama kwa hakika,
Uongozi ni kipawa kutoka kwa Mungu. Hekima, Busara, Maarifa na Maono aliyonayo Ruto, yanakwenda kurejesha utulivu Kenya katika muda usiokua marefu..
God bless Kenya 🐒
Baada ya kutangazwa mshindi na kuapishwa alikaa muda gani kabla hajatangaza baraza la mawaziri?huu ni uposhaji na usushi wenye mihemko ni wa kupuuzwa vikali 🐒
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba, hata uchaguzi uitishwe leo Kenya atashinda tena kwa kishindo kikuu zaidi ya cha wakoma 🐒Ruto anapitia wakati mgumi,he might end up as one term president of Kenya, wasema ni mwongo,alitoa ahadi hewa za kutengeza serikali ya hustlers,mama mbogo,mikokoteni na bodaboda
Gen Z wamegeuka mwiba mkali kwenye siasa za Kenya.
Ama kweli uchawa una ubobezi kutoka kitaifa hadi kimataifa twafwaaa.Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi..
Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia kuunda serikali mpya yenye sura ya kitaifa kukabaliana na hali halisi ya kisiasa, kijamii na kiuchumi Kenya..
Pamoja na kwamba waandamanaji wa Gen z bado wanaendeleza harakati zao za kudai mageuzi zaidi ya uongozi, baada ya kufanikiwa kuzuia musuada wa Sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025, lakini bado wamekua wakiibua madai mapya, na kwenda mbali zaidi hata kumtaka Rais Ruto aliechaguliwa Kidemokrasia mwaka 2022, kaachia ngazi..
Ni dhahiri,
Ruto na viongozi hao watatu serikali kuu wanaelekea kufanikiwa kudhibiti hasira za gen z. na katika muda usiokua marefu maandamano hayo yatapoa na kwisha kabisa..
ishara za migawanyiko miongoni mwa gen z, na kutokuelewana wao kwa wao juu ya uelekeo wao na malengo yao mapya, kumewafanya baadhi yao kurudi nyuma na kuendelea na shughuli zoa za kujiongezea kipato..
Mbaya zaidi,
Miongoni mwao wamejibadilisha na kua majambazi, wavamizi, waharbifu na waporaji wa mali za watu lakini pia wakabaji na waporaji wa simu za miongoni mwa waandamanaji wenzao..
Ziara za pamoja za Rais Ruto, Naibu wake na Prime Cabinet Secretary zimepunguza manung'uniko ya wananchi dhidi ya serikali, na sasa wananchi wanakuja pamoja taratibu, pole pole...
Ama kwa hakika,
Uongozi ni kipawa kutoka kwa Mungu. Hekima, Busara, Maarifa na Maono aliyonayo Ruto, yanakwenda kurejesha utulivu Kenya katika muda usiokua marefu..
God bless Kenya 🐒
Labda gen z ya tz si ya kenya, hao jamaa bado sana kugawanyika, hakuna kitu kina unite watu kama chuki. Labda anaweza asiondoke leo but uchaguzi unaokuja atapoteza pabaya, last kura zake nyingi zilitoka kwa vijana this time vijana hao hao ndio hawamtakiyaani unaondoa wasaizi wako wote wa karibu, then ndio kujiokoa huko right?🤣
gen z wanagawanyika kila uchwao,
tayari wamepoteza uelekeo na malengo, kundi kubwa hivi sasa lipo nyuma ya Ruto na wanamskiliza Rais Ruto, fuatilia mikutano yake utaliona hilo bayana 🐒
Na hiyo ndio dawa ya siasa,sii hasaaa za kitapeli.Ruto anapitia wakati mgumi,he might end up as one term president of Kenya, wasema ni mwongo,alitoa ahadi hewa za kutengeza serikali ya hustlers,mama mbogo,mikokoteni na bodaboda
Gen Z wamegeuka mwiba mkali kwenye siasa za Kenya.
kwahiyo wanaojazana kwenye mikutano ya Ruto sasa hivi ni wazee?🐒Labda gen z ya tz si ya kenya, hao jamaa bado sana kugawanyika, hakuna kitu kina unite watu kama chuki. Labda anaweza asiondoke leo but uchaguzi unaokuja atapoteza pabaya, last kura zake nyingi zilitoka kwa vijana this time vijana hao hao ndio hawamtaki
Nilitaraji umuulize pia Tlaaatlaah kama huku ndio kujiamini.
Naatakulaa jeurii yake,hakuna kijana ataamtaka teeena.Labda gen z ya tz si ya kenya, hao jamaa bado sana kugawanyika, hakuna kitu kina unite watu kama chuki. Labda anaweza asiondoke leo but uchaguzi unaokuja atapoteza pabaya, last kura zake nyingi zilitoka kwa vijana this time vijana hao hao ndio hawamtaki
kujiamini kwa gen z ni kwa kindezi sana,Nilitaraji umuulize pia Tlaaatlaah kama huku ndio kujiamini.
Tz hatuna muda maalumu wa kikatiba kwa Rais kuunda baraza la mawaziri, na kwahivyo hiyo sio issue kabisa Tz,Baada ya kutangazwa mshindi na kuapishwa alikaa muda gani kabla hajatangaza baraza la mawaziri?