Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

Nadhani huelewi mchezo alioucheza Ruto na Timu yake pale Mombasa πŸ˜‚
hiyo maana yake Ruto alikua na nguvu na ushawishi ndani ya serikali na nje ya serikali kwa wananchi, kitu ambacho bado anacho mpaka sasa hivi πŸ’
 
Shetani Magufuli aliongoza serikali peke kwa mwezi mzima baada ya kuchaguliwa kwa wizi wa kura mwaka 2015!
huu ni uposhaji na usushi wenye mihemko ni wa kupuuzwa vikali πŸ’
 
Sio Dr Samia tena?

Chawa manasalitiana hivi.
 
hiyo maana yake Ruto alikua na nguvu na ushawishi ndani ya serikali na nje ya serikali kwa wananchi, kitu ambacho bado anacho mpaka sasa hivi πŸ’
Ruto ana ushawishi hiyo ni kweli Kabisa

Ila akili za kiuongozi ziko kwa " wife"

Akili na Ushawishi ni vitu viwili vinavyojitegemea πŸ˜„πŸ˜„
 
Wengine hawajiamini hadi wazimue Kwanza Whiskies za Canada na Ufaransa huku wakimsikilizia Mganga anasemaje.
 
Ruto anapitia wakati mgumi,he might end up as one term president of Kenya, wasema ni mwongo,alitoa ahadi hewa za kutengeza serikali ya hustlers,mama mbogo,mikokoteni na bodaboda
Gen Z wamegeuka mwiba mkali kwenye siasa za Kenya.
I can confirm to you without fear of contradictions kwamba, hata uchaguzi uitishwe leo Kenya atashinda tena kwa kishindo kikuu zaidi ya cha wakoma πŸ’

kwasababu sio Raila, kalonzo au naibu wake mwenye ushawishi zaidi ya kwenye kaeneo kakabila lake pekee. Ruto anakushawishi kote Kenya πŸ’
 
Ama kweli uchawa una ubobezi kutoka kitaifa hadi kimataifa twafwaaa.
 
Labda gen z ya tz si ya kenya, hao jamaa bado sana kugawanyika, hakuna kitu kina unite watu kama chuki. Labda anaweza asiondoke leo but uchaguzi unaokuja atapoteza pabaya, last kura zake nyingi zilitoka kwa vijana this time vijana hao hao ndio hawamtaki
 
Ruto anapitia wakati mgumi,he might end up as one term president of Kenya, wasema ni mwongo,alitoa ahadi hewa za kutengeza serikali ya hustlers,mama mbogo,mikokoteni na bodaboda
Gen Z wamegeuka mwiba mkali kwenye siasa za Kenya.
Na hiyo ndio dawa ya siasa,sii hasaaa za kitapeli.
 
kwahiyo wanaojazana kwenye mikutano ya Ruto sasa hivi ni wazee?πŸ’


kama ni hivyo basi wazee wa kenye ni wengi mno na wana nguvu zaidi ya vijanaa..
Maana ziara za Ruto, naibu wake na Cabinet Secretary wake inajaza nyomi halafu ni smooth πŸ’


nikuhakikishie,
Ruto anatawala muhula miwili bila mbambamba ya gen z wala nani πŸ’
 
Ama kweli uchawa una ubobezi kutoka kitaifa hadi kimataifa twafwaaa.
huna haja ya kua na mihemko unapokuja kuchota ufahamu, uelewa na kuongeza maarifa juu ya siasa za kimataifa mahali hapa, relax tu utafaidika πŸ’
 
Naatakulaa jeurii yake,hakuna kijana ataamtaka teeena.
 
Nilitaraji umuulize pia Tlaaatlaah kama huku ndio kujiamini.
kujiamini kwa gen z ni kwa kindezi sana,
anajijua kabisa hana uwezo wa kumzuia polisi halafu eti anajipiga kifua nipige uone, niguse kama una uewezo 🀣

anapigwa ngumi moja hadi anapoteza fahamu wenzie wanatimua mbio kuongopa ngumi kali 🀣
 
Naatakulaa jeurii yake,hakuna kijana ataamtaka teeena.
unadhani vijanaa wa Kenya wana tofauti na wabongo basi, siku ya Uchaguzi huwaoni ng'oo πŸ’

ruto atawashinda hata wafanyaje πŸ’
 
Baada ya kutangazwa mshindi na kuapishwa alikaa muda gani kabla hajatangaza baraza la mawaziri?
Tz hatuna muda maalumu wa kikatiba kwa Rais kuunda baraza la mawaziri, na kwahivyo hiyo sio issue kabisa Tz,

check Kenya na kwingineko na katika hali ya taharuki na fujo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…