Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

Rais hatakikani mahali popote,Ruto ni mwizi kama Magufuri.
 
Ruto ana ushawishi hiyo ni kweli Kabisa

Ila akili za kiuongozi ziko kwa " wife"

Akili na Ushawishi ni vitu viwili vinavyojitegemea πŸ˜„πŸ˜„
kwahiyo kiongozi mwana maombi, yaani mama ndio anaongoza nchi sio 🀣
 
Wengine hawajiamini hadi wazimue Kwanza Whiskies za Canada na Ufaransa huku wakimsikilizia Mganga anasemaje.
whiskey zinagongwa hadi mguu unashindwa kupiga hatua dah πŸ’

breki kwa mganga..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…