Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Mazungumzo kati ya mwanajeshi alie kambini na rafiki yake wa karibu(civilian), wanajeshi kambini walikua wanaambiwana wakuu wao wajitolee (volunteer) kuunda vikosi vya kupambana na waandamanaji, na wanajeshi walikua wanakataa ku-volunteer hadi wachaguliwe Kwa lazima, na kuna wengine tayari walikua wamekataa hata baada ya kupewa order ya kujiunga na kikosi manake walikua wanajua ni kinyume na sheria kutuma jeshi kuzima maandamano bila idhini ya bunge.

Kuna uwezekano tulikua tumebakisha padogo tu serekali ipinduliwe, Ruto angeendelea na kibavu wiki mbili hazingepita, wanajeshi aliotuletea watu uwe wangemgeukia yeye.

 
Mazungumzo kati ya mwanajeshi alie kambini na rafiki yake wa karibu(civilian), wanajeshi kambini walikua wanaagizwa na wakuu wao wajitolee (volunteer) kuunda vikosi vya kupambana na waandamanaji, na wanajeshi wenyewe walikua wanakataa ku-volunteer hadi wachaguliwe kwa lazima, na kuna wengine tayari walikua wamekataa hata baada ya kupewa direct order ya kujiunga na kikosi manake walikua wanajua ni kinyume na sheria kutuma jeshi kuzima maandamano bila idhini ya bunge.
Kuna uwezekano tulikua tumebakisha padogo tu serekali ipinduliwe, Ruto angeendelea na kibavu wiki mbili hazingepita, wanajeshi aliotuletea watuuwe wangemgeukia yeye.

View attachment 3027267
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…