Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Hapo ndio unaona umuhimu wa Katiba BORA enzi za Moi katiba ya Kenya ilikuwa ya HOVYO kama hii ya kwetu.

Moi alikuwa anawaua Wakenÿa wakiandamana na kuwawinda kama Digidigi lakini Katiba hii Mpya ya Kenya ni moja ya Katiba Bora Afrika.

Sisi hapa Binti Kiziwi anasema Katiba ni "Kijitabu tu.."
😖
 
Nyie majamaa mmebarikiwa uchawa aisee. Mwanzo mlikuwa mnasema madogo hawana akili na mkasema Ruto anawachekea anatakiwa awachape akomae na mswada wake asiwasikilize. Leo Ruto sio kashuka sema hana cha kufanya, madogo wamemzidi hakuwa na jinsi ilikuwa lazima ateme bungo mnageuka mnaanza kumsifu Ruto.

Dah! Uchawa kiboko asee
 
Uchawa ni kipaji. Kuna waliokuwa wakimsifu na kumshukuru Kikwete kwa safari nje ya nchi. Walisema anatafuta na kuleta pesa za maendeleo.

Alipomaliza muda wake waligeuka kumsifu Magufuli kwa kuwa tafauti na Kikwete. Na hawa wote ni CCM.
 
Rais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Jeshi na mahakama zimemgeuka. Halafu ramani ya Ikulu imezagaa mtaani.
 
Ruto, anaakili sana, ameshawapumbaza Gen Z, who are behind them?, tactical failure!, uharibifu waliofanya bungeni wataufidia kwenye kodi watakazokatwa.
Chawa bwana. Mnajifanya kujua . Cha msingi vijana waliingiza bungeni na kuwafurusha wabunge kwenye pavement. Leo Rais kakubali yaishe.
 
Rais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Una tatizo kubwa la afya ya akili.
 
Back
Top Bottom