Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Tanzania haiwezi kuwa Nchi ya kipumbavu kama Kenya ndio maana Wananchi waliwadharau na maandamano yenu fake.

Wapi mgao wa umeme na maisha magumu yaliyonadiwa na Machadema? 🤣🤣
Hujitambui. Hapa tunaongelea Kenya wewe unaongelea Tanzagiza ambao raia asilimia 99 hawajui kilichoandkwa kwenye bajeti. Kenya walitafisiri Bajeti yao kwa Lugha 20 za makabila mbalimbali ndani ya Kenya, ndio maana muamko ulikuwa mkubwa Hadi vijijini. Sio huku hata utangulizi wa bajeti hatujui.
 
Sisi Tanganyika mmelala tu pamoja na kuwa mnakandamizwa vya kutosha Hadi damu zinawatoka.lini mtachukua hatua wa Tanganyika?
 
Rais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
 
Kawataka waandamanaji wajadiliane namna gani nchi yao itaenda bila hizo Kodi,so gen z wajiandae kupeleka mipango kazi, Sheria za Kenya hazimpi mamlaka rais kufuta muswada,ni hajasaini na kaurudisha bungeni ujadiliwe upya
 
Sasa ni wakati wa kufanya Uchunguzi wa kwanini Polisi walitumia nguvu kupita kiasi na kuwasabashia Wananchi Umauti.

Na ikibidi wapandishwe Kizimbani na Mkuu wao ajiuzulu na yeye apandishwe Kizimbani.
 
Hustler šŸ˜€ huyu tapeli wa kalenjini alikuwa na mbwembwe sana wakati wa kampeni mara apande wheelbarrow full tafrani.

Gen Z wamemlambisha chumvi ya mawe.
 
Mungu atusamehe Africans kwa viongozi wetu kukosa akili kubwa ya kuamua mambo sahihi kwa wakati unaofaa.
 
Sisi gen z wa ushagoo, tumekubaliana kuwa kesho tunaandamana na kauli mbiu yetu ni RUTO MUST GO
GMtthVfWEAApnbp.jpeg
 
  • Kicheko
Reactions: K11
Mungu atusamehe Africans kwa viongozi wetu kukosa akili kubwa ya kuamua mambo sahihi kwa wakati unaofaa.
Wakati wanachukua Madeni wanaenda wakicheÄ·a hadi Benki halafu wakati wa kulipa wanatukamua hadi Damu sisi Wananchi.
 
Back
Top Bottom