Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Rais Ruto asitisha kusaini Muswada wa Sheria ya Fedha 2024, aurejesha Bungeni

Ruto, anaakili sana, ameshawapumbaza Gen Z, who are behind them?, tactical failure!, uharibifu waliofanya bungeni wataufidia kwenye kodi watakazokatwa.
Acha tuone kesho itakuaje maana ukipita huko kwa wakina X ni kama jamaa bado wanataka kuendelea kesho
IMG_20240626_193439.jpg
 
Rais Ruto kaamua kukubali yaishe, kakubaliana na shinikizo la kizazi cha maandamano, Rais kasema hawezi kusaini mswaada huo. Sasa tuone nia ya kizazi cha maandamano ilikuwa na kupinga mswaada au wanajambo jingine?
Pongezi kwa Rais Ruto kwa kutuliza mihemko ya kizazi cha maandamano.
Rutto kaanzisha hyo na kuitatua mwenyew ili kijiweka vizur kisiasa
 
A leaderless group? How on earth were they given a go-ahead for maandamano???
Decentralized gangs/mobs hizi hazina mfumo wa kiuongozi ila walipo wawili mmoja ni kiongozi asiye na kiongozi. Ni sawa na walivyo Ali Shabab tu na ndio sababu ni ngumu kuwakabili.
 
Laana ya kujifanya kikaragosi cha magaharibi itamuandama daima ruto. Hatoishi kwa amani.
 
Anawadekeza, alitakiwa awape kichapo cha haja kubwa mpaka washike adabu. Siku nyingine wataandamana kwenda ikulu wahuni hao
Mawazo ya watu wasiosoma na standard 7 failures. Unadhan kila nchi ni Tanzania yenye raia viazi kama wewe. Mataifa mengine watu wanajielewa na serikali wana respect democracy ya watu, utaua raia wote unadhan kwa nchi zinazojielewa kufanya hivyo unatatua tatizo au unaongeza? Akili Kama zako ndio maana nchi hadi leo ipo chini ya CCM
 
Hapo ndio unaona umuhimu wa Katiba BORA enzi za Moi katiba ya Kenya ilikuwa ya HOVYO kama hii ya kwetu.

Moi alikuwa anawaua Wakenÿa wakiandamana na kuwawinda kama Digidigi lakini Katiba hii Mpya ya Kenya ni moja ya Katiba Bora Afrika.

Sisi hapa Binti Kiziwi anasema Katiba ni "Kijitabu tu.."
😖
Kwenye hiyo kauli yake kama tungekuwa na vijana wanaojitambua wangeanzia hapo hapo!
 
Back
Top Bottom