ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Hii ndio Nchi ambayo Rais ni kama bendera Sasa hana anachiweza kufanya.Rais Ruto amegoma kusaini Muswada wa Fedha na kuurudisha Bungeni. Hili limetokea baada ya maandamano yalikuwa yakiongozwa na Gen Z kufanyika zaidi ya wiki nchini humo. Ikulu imeripoti kwamba Rais Ruto anatarajia kuurudisha Mswada huo Bungeni kabla ya Bunge kuvunjwa baadaye leo.
Rais Ruto anatarajiwa kulihutubia taifa muda wowote kuanzia sasa.
Ona anavyoongea Kwa masikotiko 😁😁😁😁👇👇👇
View: https://twitter.com/EJ_Mwita/status/1805891440452489546?t=md6l5UxOW7Yauscax7OhfA&s=19