Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Hamna haja ya kuendelea kuzungushana DRC, muda umefika wa kulazimisha amani, hutaki sepa.... Na ukizingua unakumbana na mkung'uto..

Kenyan President William Ruto on Monday said the East African Community (EAC) troops deployed in the Democratic Republic of Congo would ‘enforce peace’, not ‘keep’ it.

In an apparent clarification on the mandate of the East African Community Regional Force (EACRF), Dr Ruto suggests the new mission departs from traditional peacekeepers by ensuring those who don’t comply are dealt with.
It was the first time an EAC leader had clarified the role of the troops, which have been arriving in eastern DRC since two weeks ago, to combat the rebel menace, including that of the M23.

Dr Ruto spoke in Kinshasa, the capital of the DRC, his first visit since he was elected president. He met with his host President Felix Tshisekedi with whom they discussed various issues for about an hour.

Dr Ruto insisted his troops are taking part in the DRC’s security mission to help “restore” peace in the troubled east of the country.

“We are acutely aware that we have many peacekeeping troops in DRC. But from where we sit as a region, we do not think there’s so much peace to keep,” he said.
“That’s why it is necessary for a peace enforcement contingent under the East African regional force. That is the mandate upon which the Kenyan troops in the context of the East African regional force are operating.”

Read: Regional force to replace Monusco in DRC

In UN parlance, missions with enforcement capabilities, such as the African Transition Mission in Somalia (Atmis), have mandates to defend installations and civilian sites but can also crack down on armed groups or terrorists, neutralise or force them to surrender.

The new EACRF is not a UN mission, but its concept of operations must adhere to global standards of war.

Dr Ruto, who was on a one-day official visit to Kinshasa, reiterated what his senior government officials had claimed before: That the conflict in eastern DR Congo was hurting everyone in the region.

“Kenya reaffirms its support to restoring peace and sustainable stability in the eastern Democratic Republic of the Congo and the region at large,” he said after the two met at the presidential palace in Kinshasa.

“Without peace, no country or individual can have the space to prosper.”

Some Congolese had been raising questions after the statements by the force’s commander Maj-Gen Jeff Nyagah, who said that the first priority for resolving the conflict in Congo is “the political option with the Luanda and Nairobi processes currently in place.”

Read: Luanda hosts summit on DRC, Rwanda crisis

The Kenyan military officer had told the media at their outpost in Goma, eastern DRC, “only after diplomacy and the disarmament process have failed will military force be used.”

Read: KDF: We’ll protect Goma airport from rebels

The public opinion in eastern DRC has been that authorities do not negotiate with M23, which are seen as the cause of the latest population displacements. The UN last week said at least 13,000 people had been forced out of their homes as the rebels engaged Congolese troops near Goma.

The two leaders also discussed bilateral issues, including trade and cooperation on agriculture, energy, infrastructure and finance.

They agreed to form a joint committee to elevate their bilateral relations, signalling the first attempt to implement some of the past pacts the two countries had signed.

A communique from Kinshasa said the committee should be up and running as soon as possible, led by technocrats from respective ministries.
 
Wakenya naona mmesahau kilichowapata Somalia

Somalia ni issue tofauti maana ni vita dhidi ya mazombi wa kidini walioaminishwa kugegeda mabikira kila wakiuawa, ila kwa DRC hamna dini pale, ni kuweka nchi sawa ili patawalike na kuondokana na umaskini uliokidhiri, hii Afrika ni tajiri sema tu ujinga wetu.
 
So mnaenda kumsaidia Tshesekedi kupigana na rebels wanaopigana na serikali yake? hopefully ni ajira tuu kwa vijana wenu na mnalipwa vizuri na Kinshasa, na siamini watu kama Ruto wanaoamini sana mambo ya dini
 
Wakenya naona mmesahau kilichowapata Somalia

Mkiwa mnaelezwa hamuwafahamu Alshabaab muwe mnaelewa, lakini pia KENYA kama Baba wa Uchumi East Africa na kiranja mkuu hana budi kuingia front ili kwanza autulize ukanda maana kwanza ndio alimshawishi DRC kujiunga EAC , na lengo ilikua aweze kudeploy majeshi yake kupambana na waasi maana kenya ana viwanda vingi analenga soko la bidhaa zake na uwekezaji mkubwa ataofanya DRC mkielezwa Tanzania hana ushawishi kwa DRC ni vile anabebwa na geografia tu ya bandari lakini kenya means business
 
So mnaenda kumsaidia Tshesekedi kupigana na rebels wanaopigana na serikali yake? hopefully ni ajira tuu kwa vijana wenu na mnalipwa vizuri na Kinshasa, na siamini watu kama Ruto wanaoamini sana mambo ya dini

Mambo ya dini yanakujaje sasa? Ile ni paper note na agreement ya toka Rais Uhuru awepo madarakani, these Kenyans wana akili sana Congo wanataka soko la bidhaa na ufunguzi wa mabenki, Tanzania soko la bidhaa zao, wachukue mazao na gesi, halafu ethiopia wanachota umeme wa viwanda vyao, huku kila kijiji wanajenga technical school kufanya vijana wao wawe na ujuzi mkubwa kwenye dunia ya sasa, halafu baadae watawatrain jeshi la congo liwe imara wajilinde wenyewe man wakenya wako far than sleeping crazy giants wa majina
 
So mnaenda kumsaidia Tshesekedi kupigana na rebels wanaopigana na serikali yake? hopefully ni ajira tuu kwa vijana wenu na mnalipwa vizuri na Kinshasa, na siamini watu kama Ruto wanaoamini sana mambo ya dini

kama kwa kumsaidia Tshesekedi pataifanya DRC iondokane na migogoro ya tangu, basi freshi maana hii Afrika kuna muda huwa inauma sana, nchi ina kila aina ya raslimali lakini mavita vita na umaskini mpaka basi tu, inabidi amani ilazimishwe kwa mtutu, tena kifua kwa kifua na ndio alichokisema Ruto.

Inapaswa tuanze kupeleka bidhaa pale na kufanya biashara bila kuwaza kuviziwa maporini na waasi.....
 
All the best ingawaje mnaenda kupoteza muda tuu na askari wenu tuu
 
Mkiwa mnaelezwa hamuwafahamu Alshabaab muwe mnaelewa, lakini pia KENYA kama Baba wa Uchumi East Africa na kiranja mkuu hana budi kuingia front ili kwanza autulize ukanda maana kwanza ndio alimshawishi DRC kujiunga EAC , na lengo ilikua aweze kudeploy majeshi yake kupambana na waasi maana kenya ana viwanda vingi analenga soko la bidhaa zake na uwekezaji mkubwa ataofanya DRC mkielezwa Tanzania hana ushawishi kwa DRC ni vile anabebwa na geografia tu ya bandari lakini kenya means business
So kenya mtamaliza hiyo vita???? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ngoja ncheke mm
 
Achana na Kagame hayuko Congo, nendeni mkajichanganye tuu na nyie muwe one of the rebels out of many, hopefully mtapata mnachotafuta

Ingekua zile enzi tulikua tunalia lia, ningekujibu kwa kusema hizi ndio akili zinazotukwamisha Afrika, ila tumeamua hatulii tena hii Afrika, tutalazimisha mambo sasa, mijitu ya hivyo itaburuzwa kwa lazima, Afrika lazima tutoke sasa.
Huwa inaniuma kuona kuna baadhi ya Waafrika tunaishi maisha hoi hata kuzidi wazungu walioishi miaka ya 1,400 fuatilia historia uone walivyokua na majengo mazuri kuzidi baadhi yetu tunaishi mwaka wa 2022.
 
Hehehe,
Mkuu muda huu tunaongea Al shabaab wanakusanya hadi kodi huko Mandera na wanavamia misikiti na kutoa mawaidha live, wapo na training camps ndani ya kenya.
Mnawezaje kuleta amani nchi Nyingine ikiwe kwenu Pokots tu wanawashinda,
Sema kwa Lugha rahisi mmeenda kuiba dhahabu. Vita hamuwezi nyie.. tuombe tu kusiwe na casualties, maana Jeshi Lenu ni corrupt na dhaifu sana
 
Mazombi ya kidini huyawezi, hata Marekani na mabomu yake yote kawaachia Afghanistan, ila kwa DRC tutaiweka sawa, andaa matikiti ya kwenda kuuza huko hivi karibuni, tutalazimisha amani tena kwa kutumia mtutu.
 
Back
Top Bottom