Rais Ruto aweka wazi kwamba jeshi la EAC litalazimisha amani ya kudumu DRC

The Kenyan military officer had told the media at their outpost in Goma, eastern DRC, “only after diplomacy and the disarmament process have failed will military force be used.”

Shabash.....................Mambo ya kutumia nguvu na ubabe yamepitwa na wakati, ona mambo yalivyo Ukraine.....hajulikani nani mshindi mpaka sasa baada ya muda wa ziada....!

Amani itapatikana, ikiwa M23 ambao ni wananchi wa Congo, kwa hivyo ni dipolmasia tu ndio itaweza!!!!
 
Ubabe ni muhimu pale diplomasia imeshindikana, pale Ukraine ni tofauti maana Urusi iliingia kushambulia nchi ya watu bila kuchokozwa, ila kwa DRC ni waasi ambao miaka yote hawataki suluhu bali mavita vita tu.
 
Usimsaidie aliedhaifu mtapigwa wote.
 
The Kenyan military officer had told the media at their outpost in Goma, eastern DRC, “only after diplomacy and the disarmament process have failed will military force be used.”

Shabash.....................Mambo ya kutumia nguvu na ubabe yamepitwa na wakati, ona mambo yalivyo Ukraine.....hajulikani nani mshindi mpaka sasa baada ya muda wa ziada....!

Amani itapatikana, ikiwa M23 ambao ni wananchi wa Congo, kwa hivyo ni dipolmasia tu ndio itaweza!!!!
M23 are rwandese refugees who went to Congo during the genocide of 1994 they are famously known as banyamulenge and that is why kagame is using them to create another country in DRC which has a lot of minerals.
 
Hilo jeshi halina mamluki kutoka kwa Mr slim?
 
Somalia ni issue tofauti maana ni vita dhidi ya mazombi wa kidini walioaminishwa kugegeda mabikira kila wakiuawa, ila kwa DRC hamna dini
Si bora huku kwenye dini ya mabikira sabini kuliko uko upande wenu mnaonyanduana wanaume kwa wanaume wazee wa upinde wa mvua🏳️‍🌈 na ndoa zinafungwa mpaka madhabauni,
,, somalia kweli mazombi kama unavyosema, kwani mpaka baba yenu kiongozi mkuu wa upinde wa mvua anawajua mazombi ya kisomali vele wele.
 
Tanzania imeshindwa kutumia ukaribu wa kijiogragia na congo kuchukua fursa nyingi zilizopo congo..Sasa Ukaribu wa Kenya na congo unazidi kukua Kwa Kasi .soon tu tutasikia jinsi wakenya watakavotake congo market etc .Rutto agenda yake ni kuingia na kuwekeza Kwa kiwango kikubwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom