Ndio maana china hata kusikia hiyo habari ya dellarization ya bwana Putin.Ukiangalia hii ishu ya upungufu wa US dollar kwenye mzunguko duniani utagundua inachangiwa na china ambaye si mmiliki wa dollar ila ndo muuzaji mkuu. Hivyo its possible china anamiliki asilimia kubwa ya dollar kuliko mmarekani mwenyewe.
Ni changamoto kwelikweli kwa sisi watumiaji tusiokua na export za kutosha na kwa mmiliki asiemiliki dollar zake. Akiwaza kuprint more anajikuta kwenye hali ya dollar yake kushuka thamani dhidi ya pound na euro.