Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

Akifanya hivyo tu itakuwa mwanzo mbaya Kwa taifa la Kenya na anguko lake rasmi kiuchumi East Africa. Putin ni mhalifu na atakayeshirikiana Naye atalipa Gharama za uhakifu huo.
 
Akifanya hivyo tu itakuwa mwanzo mbaya Kwa taifa la Kenya na anguko lake rasmi kiuchumi East Africa. Putin ni mhalifu na atakayeshirikiana Naye atalipa Gharama za uhakifu huo.
Kama ndio hivyo basi Marekani na Ulaya ndio wanapaswa kuwajibishwa wakiwa wa kwanza maana mpaka sasa ndio wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Urusi.
 
Raha ya kuongozwa na wanaume wa kazi.Tofauti na vibibi vya kule kusini vinazidi kuharibu uchumi wa nchi
 
Ah dhubutuuu yake ana wadanganya ajaribu aone kama hatokiona cha mtema kuni toka kwa mabwana wakubwa zake especially US, UK and Israel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…