Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,926
- 15,634
Endelea kuota!Sidhani kama anajeuri hiyo!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endelea kuota!Sidhani kama anajeuri hiyo!
Ruto kama kweli kaongea,kaongea siasa tu hizo meli za mafuta zitapita wapi wakati kuna vikwazo vya kimataifa dhidi ya meli za kirusiSidhani kama anajeuri hiyo!
Nahisi umeukumbuka ule wimbo wa Mushroom-embe dodo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]MK254 kajificha huko kwenye mavichochoro yao anapiga chang'aa muda huu
Ukweli napenda afanye hivyo, tatizo kitakachompata ndicho nakihofia!!!Endelea kuota!
Kuna vikwazo vya US na shoga zake tu hakuna vikwazo vya kimataifaRuto kama kweli kaongea,kaongea siasa tu hizo meli za mafuta zitapita wapi wakati kuna vikwazo vya kimataifa dhidi ya meli za kirusi
Ruto kama kweli kaongea,kaongea siasa tu hizo meli za mafuta zitapita wapi wakati kuna vikwazo vya kimataifa dhidi ya meli za kirusi
Kama ndio hivyo basi Marekani na Ulaya ndio wanapaswa kuwajibishwa wakiwa wa kwanza maana mpaka sasa ndio wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Urusi.Akifanya hivyo tu itakuwa mwanzo mbaya Kwa taifa la Kenya na anguko lake rasmi kiuchumi East Africa. Putin ni mhalifu na atakayeshirikiana Naye atalipa Gharama za uhakifu huo.
Ah dhubutuuu yake ana wadanganya ajaribu aone kama hatokiona cha mtema kuni toka kwa mabwana wakubwa zake especially US, UK and IsraelIkiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo
Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali ambao hatua kwa hatua utaanza safari ya kupunguza bei ya mafuta,"
Pia ametetea uamuzi wa hivi karibuni wa kufuta baadhi ya ruzuku za mafuta
Kwa kusema kuwa hazifai na zinaweza kutumika vibaya
…………
Kenya open to buying fuel from Russia - Ruto
The Kenyan president, William Ruto, has told the BBC he's open to buying fuel from Russia.
Several countries have refused to engage with Moscow since the invasion of Ukraine but Mr Ruto said he's considering all available options.
"I am now going to move on to the agenda of making sure that we have government-to-government relationships that will progressively now begin the journey to bring the prices of fuel down," President Ruto said.
He added: "All options are available to us as a country."
Kenya is facing a deepening economic crisis, sending the price of food and fuel soaring.
Despite rising fuel prices Mr Ruto defended his decision last week to scrap some fuel subsidies.
He said they were unsustainable and prone to abuse.
Source: BBC