Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

Akifanya hivyo tu itakuwa mwanzo mbaya Kwa taifa la Kenya na anguko lake rasmi kiuchumi East Africa. Putin ni mhalifu na atakayeshirikiana Naye atalipa Gharama za uhakifu huo.
 
Akifanya hivyo tu itakuwa mwanzo mbaya Kwa taifa la Kenya na anguko lake rasmi kiuchumi East Africa. Putin ni mhalifu na atakayeshirikiana Naye atalipa Gharama za uhakifu huo.
Kama ndio hivyo basi Marekani na Ulaya ndio wanapaswa kuwajibishwa wakiwa wa kwanza maana mpaka sasa ndio wanunuzi wakubwa wa mafuta ya Urusi.
 
Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo

Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali ambao hatua kwa hatua utaanza safari ya kupunguza bei ya mafuta,"

Pia ametetea uamuzi wa hivi karibuni wa kufuta baadhi ya ruzuku za mafuta
Kwa kusema kuwa hazifai na zinaweza kutumika vibaya

…………

Kenya open to buying fuel from Russia - Ruto

The Kenyan president, William Ruto, has told the BBC he's open to buying fuel from Russia.

Several countries have refused to engage with Moscow since the invasion of Ukraine but Mr Ruto said he's considering all available options.

"I am now going to move on to the agenda of making sure that we have government-to-government relationships that will progressively now begin the journey to bring the prices of fuel down," President Ruto said.

He added: "All options are available to us as a country."

Kenya is facing a deepening economic crisis, sending the price of food and fuel soaring.

Despite rising fuel prices Mr Ruto defended his decision last week to scrap some fuel subsidies.

He said they were unsustainable and prone to abuse.


Source: BBC
Ah dhubutuuu yake ana wadanganya ajaribu aone kama hatokiona cha mtema kuni toka kwa mabwana wakubwa zake especially US, UK and Israel
 
Back
Top Bottom