Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia

Rais William Ruto Jumanne usiku alielezea uvunjaji wa bunge kama kitendo cha uhaini, na akaahidi kuchukua hatua kali dhidi ya waandaaji na wafadhili wa maandamano, ambayo yalikuwa yameingia siku ya tano.

Rais Ruto alikuwa akihutubia taifa baada ya siku ya maandamano ambayo yalisababisha vifo vya angalau watu watano, na wengine zaidi ya 125 wakipata majeraha.

"Ninawaonya wapanga, wafadhili, waandaaji, na washirika wa vurugu na machafuko kwamba miundombinu ya usalama iliyoanzishwa kulinda jamhuri yetu na uhuru wake itatumika kulinda nchi na kurejesha utulivu na hali ya kawaida," alisema Rais Ruto.

Kwa mujibu wa Rais Ruto, haiwezekani kwamba wahalifu wanaojifanya kuwa waandamanaji wa amani wanaweza kuleta hofu kwa watu na wawakilishi wao waliochaguliwa, pamoja na taasisi, na kutarajia kuondoka bila adhabu.

"Lazima tutenganishe uhalifu kutoka kwa maoni ya kidemokrasia na kutenganisha wahalifu kutoka kwa watu wanaotumia uhuru wao wa kujieleza na maoni tofauti," aliongeza.

PIA SOMA
- LIVE - Yanayojiri Maandamano Kenya: Waandamanaji wafika Bungeni, wawili wauawa kwa risasi
---

President William Ruto on Tuesday night described the breach of parliament as treasonous, vowing to crack down on the 'organisers and financiers of the protests, which entered their fifth day.

President Ruto was addressing the nation after a day of protests that left at least five people dead, and over 125 others nursing injuries.

"I hereby put on notice the planners, financiers, orchestrators, and abettors of violence and anarchy that the security infrastructure established to protect our republic and its sovereignty will be to deployed secure the country and restore order and normalcy," President Ruto said.

According to President Ruto, it is inconceivable that criminals pretending to be peaceful protesters can reign terror against people and their elected representatives, as well as institutions, and expect to go scot free.
"We must isolate crime from democratic expression and separate criminals from people exercising their freedom of expression and divergent opinion," he added.

A tough-speaking Ruto vowed there would be a full, expeditious response to the events of Tuesday to ensure such an event does not re-occur.

" I assure Kenyans that we shall provide a full, effective, and expeditious response to today's treasonous events," President Ruto said.

Kenyan protesters broke through parliament barricades on Tuesday and entered the complex, where lawmakers were debating contentious tax hike proposals that have sparked widespread outrage.

According to Amnesty International Kenya, hundreds of protesters broke through police barriers outside parliament in Nairobi, with police firing live rounds and injuring "many" people.

A section of parliament that houses offices was also set on fire as protesters stormed the buildings, accompanied by heavy gunfire from police officers battling the defiant mob.

Protesters who have rallied against the contentious Bill, which was passed by the House on Tuesday, have been picketing for the past week, arguing that if passed, the Bill will burden an already burdened population.

The United States of America, the United Kingdom and a host of other countries have condemned the abduction and killing of protesters in Kenya during the ongoing anti-Finance Bill protests that have been witnessed across the country.

In a joint statement, Ambassadors & High Commissioners from 13 countries expressed concern over the violence witnessed across the country and the resultant deaths.

"We are deeply concerned by the violence witnessed in many parts of the country during the recent protests, and are especially shocked by the scenes witnessed outside the Kenyan Parliament," reads the statement.
Akili imerudi

Mbaaafff
 
Hustlers wanaisoma number. HAHAHA ila Ruto alijua kuact kipindi cha kampeni. Nikikumbuka masufuria kina mama ntilie,matololi. Yaani alijionyesha kama mtetezi wa wanyonge. Hahahahah leo kawawekea kodi hadi kwenye mkate .Hahahahahh.
Usanii wa Ruto Wakenya wanaujua Kitambo. Sasa nashangaa Wakenya wanastuka nn
 
yaani hata hapo walipofikia, amechelewa sana, amewadekeza sana. mbona wamepewa uhuru wote, kwanini wasingeandamana kwa amani tu? kama kuandamana ni haki wamepewa, uhalifu wa nini sasa?
 
Nilijua hili litakuja kutoa.Kwa wasiomjua Ruto ni kiongozi katili mwenye misimamo.Bila Ruto second term Kenyatta asingekua raising ni Ruto aliyemshauri Kenyatta kukaza mpaka uchaguzi uliporudiwa.Ruto asiposhauriwa na kusikiliza ushauri watu wengi watauawa Kenya na itamtia doa na kuwa
downfall yake.Let's pray for Kenya.
 
Vijana waandamanaji maarufu kama GEN-Z wakiiba na kuvamia maduka.
Ruto ni mwizi, muuwaji.
Apelekwe ICC wakamdinye.
Inject[emoji382][emoji382]
View attachment 3026202
Duh ,,, hapa unaona wazi kabisa hata polisi wana hali ngumu.
Leo polisi mmoja kakaa chini anaililia maiti ya mdogo wake aliepigwa risasi ..fikiria atafanya nini
 
Kwamba Ruto amebadilika sana zaidi hata ya Zuwena....😜
 
Attachments

  • IMG-20240625-WA0015.jpg
    IMG-20240625-WA0015.jpg
    62.2 KB · Views: 2
nakubaliana na Rais Ruto. afanye linalo wezekana jambo kama hili lisirudie tena.
amani ya nchi inapaswa ilindwe kwa gharama yoyote ile.

..anachotakiwa kufanya ni kusikiliza na kufanyia kazi hoja za wanaopinga Finance Bill ili kuiokoa Kenya na machafuko.

..Jeshi linalojielewa haliwezi kuua raia wake ili kumlinda mtawala asiyetaka kusikiliza matatizo na kilio cha wananchi wake.
 
Back
Top Bottom