Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia

Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia

..anachotakiwa kufanya ni kusikiliza na kufanyia kazi hoja za wanaopinga Finance Bill ili kuiokoa Kenya na machafuko.

..Jeshi linalojielewa haliwezi kuua raia wake ili kumlinda mtawala asiyetaka kusikiliza matatizo na kilio cha wananchi wake.
Naskia kasalimu amri
 
Naskia kasalimu amri
Siasa inapigwa hapo. Umerudishwa bungeni ili ufanyiwe marejkebisho aliyopendekeza Rais.

2. Bunge haliliazimishwi kukubali maendeleo ya Rais, wanaweza kutofa ya marekebisho wakayarejesha kama yalivyo. Ruto anapaswa kusaini kabla ya jumamosi
 
Hapo ameharibu, haki haiwezi kugeuka na kuwa uhaini. Uhaini maana yake ni kunyongwa, hivyo waandamaji wote wanyongwe?
 
Utaua wangapi polisi wako anakabiliana na watu 10

Ova
 
Back
Top Bottom