Rais Ruto (kuhusu Maandamano): Ni uhaini! Tutawashughulikia

Akili imerudi

Mbaaafff
 
Hustlers wanaisoma number. HAHAHA ila Ruto alijua kuact kipindi cha kampeni. Nikikumbuka masufuria kina mama ntilie,matololi. Yaani alijionyesha kama mtetezi wa wanyonge. Hahahahah leo kawawekea kodi hadi kwenye mkate .Hahahahahh.
Usanii wa Ruto Wakenya wanaujua Kitambo. Sasa nashangaa Wakenya wanastuka nn
 
yaani hata hapo walipofikia, amechelewa sana, amewadekeza sana. mbona wamepewa uhuru wote, kwanini wasingeandamana kwa amani tu? kama kuandamana ni haki wamepewa, uhalifu wa nini sasa?
 
Nilijua hili litakuja kutoa.Kwa wasiomjua Ruto ni kiongozi katili mwenye misimamo.Bila Ruto second term Kenyatta asingekua raising ni Ruto aliyemshauri Kenyatta kukaza mpaka uchaguzi uliporudiwa.Ruto asiposhauriwa na kusikiliza ushauri watu wengi watauawa Kenya na itamtia doa na kuwa
downfall yake.Let's pray for Kenya.
 
Vijana waandamanaji maarufu kama GEN-Z wakiiba na kuvamia maduka.
Ruto ni mwizi, muuwaji.
Apelekwe ICC wakamdinye.
Inject[emoji382][emoji382]
View attachment 3026202
Duh ,,, hapa unaona wazi kabisa hata polisi wana hali ngumu.
Leo polisi mmoja kakaa chini anaililia maiti ya mdogo wake aliepigwa risasi ..fikiria atafanya nini
 
Kwamba Ruto amebadilika sana zaidi hata ya Zuwena....😜
 

Attachments

  • IMG-20240625-WA0015.jpg
    62.2 KB · Views: 2
nakubaliana na Rais Ruto. afanye linalo wezekana jambo kama hili lisirudie tena.
amani ya nchi inapaswa ilindwe kwa gharama yoyote ile.

..anachotakiwa kufanya ni kusikiliza na kufanyia kazi hoja za wanaopinga Finance Bill ili kuiokoa Kenya na machafuko.

..Jeshi linalojielewa haliwezi kuua raia wake ili kumlinda mtawala asiyetaka kusikiliza matatizo na kilio cha wananchi wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…