Aigle JF-Expert Member Joined Jul 4, 2020 Posts 1,540 Reaction score 7,973 Jun 26, 2024 #41 JokaKuu said: ..anachotakiwa kufanya ni kusikiliza na kufanyia kazi hoja za wanaopinga Finance Bill ili kuiokoa Kenya na machafuko. ..Jeshi linalojielewa haliwezi kuua raia wake ili kumlinda mtawala asiyetaka kusikiliza matatizo na kilio cha wananchi wake. Click to expand... Naskia kasalimu amri
JokaKuu said: ..anachotakiwa kufanya ni kusikiliza na kufanyia kazi hoja za wanaopinga Finance Bill ili kuiokoa Kenya na machafuko. ..Jeshi linalojielewa haliwezi kuua raia wake ili kumlinda mtawala asiyetaka kusikiliza matatizo na kilio cha wananchi wake. Click to expand... Naskia kasalimu amri
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,358 Reaction score 10,976 Jun 26, 2024 #42 Aigle said: Naskia kasalimu amri Click to expand... Siasa inapigwa hapo. Umerudishwa bungeni ili ufanyiwe marejkebisho aliyopendekeza Rais. 2. Bunge haliliazimishwi kukubali maendeleo ya Rais, wanaweza kutofa ya marekebisho wakayarejesha kama yalivyo. Ruto anapaswa kusaini kabla ya jumamosi
Aigle said: Naskia kasalimu amri Click to expand... Siasa inapigwa hapo. Umerudishwa bungeni ili ufanyiwe marejkebisho aliyopendekeza Rais. 2. Bunge haliliazimishwi kukubali maendeleo ya Rais, wanaweza kutofa ya marekebisho wakayarejesha kama yalivyo. Ruto anapaswa kusaini kabla ya jumamosi
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jun 29, 2024 #43 Hapo ameharibu, haki haiwezi kugeuka na kuwa uhaini. Uhaini maana yake ni kunyongwa, hivyo waandamaji wote wanyongwe?
Hapo ameharibu, haki haiwezi kugeuka na kuwa uhaini. Uhaini maana yake ni kunyongwa, hivyo waandamaji wote wanyongwe?
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Jun 29, 2024 #44 Utaua wangapi polisi wako anakabiliana na watu 10 Ova