Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

BLACK MOVEMENT

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2020
Posts
4,548
Reaction score
11,901
r1.jpg
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.

Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.

Tusipo chukua notce kutoka Gen Z hatutakuja kuweza kitu.

r2.jpg
Na balaza la Mawaziri pia na wao watakuwa space kujibu maswali.

Pia soma
 
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.

Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.

Tusipo chukua notce kutoka Gen Z hatutakuja kuweza kitu.
View attachment 3033593
huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒

najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒

well done President William Samoe Ruto 💪
 
President William Ruto has announced an interactive session with Kenyans on the popular X platform.

In a statement on Thursday, July 4, the head of state revealed the session would run for three hours on X space.

Ruto urged Kenyans to join in the conversation that will be held on Friday, July 5 from 2pm to 5pm.

'Let's engage," read the poster shared on all of the president's social media platforms.

Pia soma

Ruto X space.png
 
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.

Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.

Tusipo chukua notce kutoka Gen Z hatutakuja kuweza kitu.
View attachment 3033593
Pamoja na changamoto zote, Ruto anajitahidi sana kutufundisha maana halisi ya utawala wa kisheria katika nchi zetu za kiafrika
 
President William Ruto has announced an interactive session with Kenyans on the popular X platform.

In a statement on Thursday, July 4, the head of state revealed the session would run for three hours on X space.

Ruto urged Kenyans to join in the conversation that will be held on Friday, July 5 from 2pm to 5pm.

View attachment 3033613
Alafu kuna majinga yanasema kenya ni wajinga..
 
huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒

najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒

well done President William Samoe Ruto 💪
kabisa mkuu hawa wetu wamejaa dharaua kejeli
 
Pamoja na changamoto zote, Ruto anajitahidi sana kutufundisha maana halisi ya utawala wa kisheria katika nchi zetu za kiafrika
for sure,
jamaa ni wa tofauti mno, anajaribu kubeba lawama zote zinazoelekezwa kwnye serikali yake bila kumlaumu msaidizi wake yeyote, anazibeba mwenyewe kikakamavu sana....

hata kuwalaumu wapinzani wake anashindwa lakini kuna wakati inamlazimu kuwalaumu kidogo, aisee,

kama vijanaa Africa Mashariki tuna jambo muhimu sana kujifunza kwa kiongozi huyu Jasiri sana wa Kenya 🐒

na,
anavyojua kujieleza tena kwa hoja, hao vijanaa watatatulizwa vizuri sana kisiasa kwakweli, mbona watafurahi 🤣
 
huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒

najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒

well done President William Samoe Ruto 💪
Harakati za wakenya huwa haziishi,ukitaka ziishe mfikie makubaliano na muelewane
Kutumia maguvu huwa haisaidi

Ova
 
huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒

najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒

well done President William Samoe Ruto 💪
Sasa unapongeza Marais wa Jirani zetu, unaacha kumshauri wa kwetu anayejiita chura kiziwi!!

Kama Si nongwa hiyo ni nini!!
 
Jibu swali ndo uliza swali.
Mimi nafanya harakati sana na sana ni za kugeuza fikra za raia, mfano leo nilipita kwenye kijiwe fulani kama kawa nikakuta wako busy na mada za yanga ba Simba, nimewapa elimu ya Uraia ya kutosha na nimebadilisha fikra za miongoni mwao.

Nimewaambia bila kuwa na collective uchungu wa hii nchi tutakwisha na watawala wana furahi sana kuona tunashinda kutwa nzima kujadili Mpira ilihali wao wakineemeka na utajiri wa hii nchi.

ukiweza kubadilisha hata fikra za mtu mmoja ni hatua kubwa sana.

Sasa nyie mnataka mabadiliko yaletwe na mtu mmoja nyie mkiwa kwenye keybord? Haitawezekana.
 
Sasa unapongeza Marais wa Jirani zetu, unaacha kumshauri wa kwetu anayejiita chura kiziwi!!

Kama Si nongwa hiyo ni nini!!
Tunapaswa kumshauri collectively, nyie mnataka jukumu libebwe na mtu mmoja nyie mkiwa kwenye keybord?
 
Back
Top Bottom