Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haijalishi hata kama ni fake ni hatua kubwa sanabkukutana na hao fake, wewe endelea kuwaramba watawala miguuZimevuja anakutana na GEN Z fake!! Fake tu
KAZI ni kipimo cha UTU
Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.
Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.
Tusipo chukua notce kutoka Gen Z hatutakuja kuweza kitu.
View attachment 3033593
Yes wale ni wana damu za MAU MAU, hawapoi wale,Harakati za wakenya huwa haziishi,ukitaka ziishe mfikie makubaliano na muelewane
Kutumia maguvu huwa haisaidi
Ova
si ungeweka mihemko pembeni na ufocus kwenye hoja huru ilowekwa mezani gentleman? 🐒Sasa unapongeza Marais wa Jirani zetu, unaacha kumshauri wa kwetu anayejiita chura kiziwi!!
Kama Si nongwa hiyo ni nini!!
Sasa utamshauri vipi kiziwi?Tunapaswa kumshauri collectively, nyie mnataka jukumu libebwe na mtu mmoja nyie mkiwa kwenye keybord?
Ah kabisa wakenya bado wana hiyo spiritYes wale ni wana damu za MAU MAU, hawapoi wale,
Angefanya nini sasa. Hivi kuna jeshi au vifaru vinavyoweza kuzidi nguvu ya umma.huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒
najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒
well done President William Samoe Ruto 💪
Watafikia tu muafakaNitajoin kusikiliza hio space Mungu awasaidie muafaka
Coment za wajinga Kwani wao hawajavunjwa miguu? hawajauwawa wengi tu?Anajua joto ICC huyo lazima awe muungwana. Machafuko 2007 yalishawapa funzo kubwa sana wakenya ndio maana hata kwenye katiba yao na IEBC yao wana mambo mazuri ya kujifunza.
Bongo gurunedi moja tu sido wadai haki wote makwao in a second.
Tz watu wachache wanatuburuzasi ungeweka mihemko pembeni na ufocus kwenye hoja huru ilowekwa mezani gentleman? 🐒
najarbu kutafakari ndio angekua museven au kagame dah 🐒Angefanya nini sasa. Hivi kuna jeshi au vifaru vinavyoweza kuzidi nguvu ya umma.
Museven mwenyewe kinganganizinajarbu kutafakari ndio angekua museven au kagame dah 🐒
kisiki cha mpingo kile, kwa pupa hang'oleki inahitajika mipango kabambe yenye nidhamu na umakini wa kipekee sana 🐒Museven mwenyewe kinganganizi
Wamemletea zengwe idd amin propaganda nyingi mpaka wakamtoa leo hii hataki kuachia madaraka Uganda imekuwa,ya familia yake
Ova
Lakn Damu zimemwagika kuleRuto ni binadamu sana aisee! Mbali na kuwa na mamlaka ya juu, lakini anajishusha na kuwa sawa na watu wote
Heko kwake