Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

Kwenda kumsikiliza ni kupoteza muda. Niliondoka Jan 15 thika, mkate ulikuwa 50. Last month my cousin alitoka uko n kuja dar, akaniambia kwa sasa mkate 70 na maziwa 70. 2019 mchele low quality ulikuwa kg ilikuwa 140, by Jan kg ilifika 220. These data ni za Jan 2024, vitu zilipanda then all of a sudden, raisi anapandisha tena kodi hadi kwenye chakula! Surely hata kama mimi sio mke ya, I strongly condemn this kutoka kwa serikali kuu. Na ningekuwepo, trust ningewajoin around the streets to project their voices. Kwanini, I know some comrades who were living with one meal in 24hrs. Majority who could afford at least 2 meals a day, their menu was purely kales na obokima. Haya maisha ni mabaya sana, then yanaongezewa ubaya!! Kwa kweli ke mna haki ya kumkataa zakayo. It's ironic that the politicians mistake the people's silence with a thinking that we are comfortable with their oppressive policies. This has to change, I wish Tanzanians had the same spirit. We are too tired, I believe one day this fkn oppression will come to an end. Imagine uhunye aliulizwa price ya mkate akasema ni thao, imagine gachagua alishindwa kumjibu the iron lady, Martha karua juu ya price ya loaf, these are our fkn leaders. Kweli politics is a dirty game.
 
FB_IMG_1720114229627.jpg
 
Ni katiba hiyo, siyo kwa utashi wake, anajua akilazimisha mambo ni nini kitatokea.
Kwa katiba yetu huwezi kufanya wanavyofanya gen z, Unapotea fasta.
Pamoja na changamoto zote, Ruto anajitahidi sana kutufundisha maana halisi ya utawala wa kisheria katika nchi zetu za kiafrika
 
Anajua joto ICC huyo lazima awe muungwana. Machafuko 2007 yalishawapa funzo kubwa sana wakenya ndio maana hata kwenye katiba yao na IEBC yao wana mambo mazuri ya kujifunza.

Bongo gurunedi moja tu sido wadai haki wote makwao in a second.
It doesn’t matter…Rutto dederve the credit…. He is doing whatever it takes…to listen and understand the Youth….! Rutto is the best president so far…… isn’t easy to have dealogue with Gang of criminals whose their intentions to burn the parliament,rooting and destroy economy…….
Very few people can fit to his shoe….it is not easy….
Rutto is very humble…..
So called Genz can beat Rutto in dealogue….and they wont….
 
huyu ni miongoni mwa viongozi wenye utashi wa kisiasa wa kiwango cha juu sana, kujishusha mpaka chini kiasia hicho kuwaskiza wanaokukataa?🐒

najaribu kutafakari kama kagame au museven kama wangeweza kumudu hali hii 🐒

well done President William Samoe Ruto 💪
Well done wakati hujawasikiliza? Walifikaje hapo? Ruto kuongea tu hajambo. GenZ wanataka vitendo (action).
 
Back
Top Bottom