Ndengaso
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,831
- 14,259
Sisi tunaomba X ifungwe! Watanzania sisi sijui nani aliwaloga viongozi wetu !Aisee, hatimaye kesho ndio kesho, Ruto atakutana na na jamaa wa Gen Z kule space. Make mwnzo alikuwa akutane nai ikulu ila ikaonekana jamaa hawana offisi wala kiongozi so kama anataka kukutana nao ni kule Space.
Huku ni vitisho vya kufungia Space na tunanywea.
Tusipo chukua notce kutoka Gen Z hatutakuja kuweza kitu.
Na balaza la Mawaziri pia na wao watakuwa space kujibu maswali.
Pia soma