Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

Anajua joto ICC huyo lazima awe muungwana. Machafuko 2007 yalishawapa funzo kubwa sana wakenya ndio maana hata kwenye katiba yao na IEBC yao wana mambo mazuri ya kujifunza.

Bongo gurunedi moja tu la kuundwa na sido wadai haki wote mbio kwenda makwao ndani ya sekunde moja tu.
 


Nimewasikia walikuwa space Leo Mbona
 
Sasa unapongeza Marais wa Jirani zetu, unaacha kumshauri wa kwetu anayejiita chura kiziwi!!

Kama Si nongwa hiyo ni nini!!
si ungeweka mihemko pembeni na ufocus kwenye hoja huru ilowekwa mezani gentleman? πŸ’
 
Tanzania vijana wengi ni wafia vyama. Ndio maana ukitoa comment yenye kusifia jambo fulani Zuri lililofanywa na serikali unaonekana wewe ni ccm pia ukitokea kukosoa jambo la serikali vijana wa ccm humu wanakushikia kama mwewe wanakuita mpinzani. Na ukihama chama kutoka na kutokuridhishwa na mwenendo wa chama fulani unaonekana wewe ni msaliti. Naamini katiba ingeruhusu mgombea binafsi wazalendo wengi wangevikacha hivi vyama.
 
Angefanya nini sasa. Hivi kuna jeshi au vifaru vinavyoweza kuzidi nguvu ya umma.
 

Anajua joto ICC huyo lazima awe muungwana. Machafuko 2007 yalishawapa funzo kubwa sana wakenya ndio maana hata kwenye katiba yao na IEBC yao wana mambo mazuri ya kujifunza.

Bongo gurunedi moja tu sido wadai haki wote makwao in a second.
Coment za wajinga Kwani wao hawajavunjwa miguu? hawajauwawa wengi tu?
Yaani Bongo tumejaa uzezeta mwingi sana
 
Museven mwenyewe kinganganizi
Wamemletea zengwe idd amin propaganda nyingi mpaka wakamtoa leo hii hataki kuachia madaraka Uganda imekuwa,ya familia yake

Ova
kisiki cha mpingo kile, kwa pupa hang'oleki inahitajika mipango kabambe yenye nidhamu na umakini wa kipekee sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…