Kwenda kumsikiliza ni kupoteza muda. Niliondoka Jan 15 thika, mkate ulikuwa 50. Last month my cousin alitoka uko n kuja dar, akaniambia kwa sasa mkate 70 na maziwa 70. 2019 mchele low quality ulikuwa kg ilikuwa 140, by Jan kg ilifika 220. These data ni za Jan 2024, vitu zilipanda then all of a sudden, raisi anapandisha tena kodi hadi kwenye chakula! Surely hata kama mimi sio mke ya, I strongly condemn this kutoka kwa serikali kuu. Na ningekuwepo, trust ningewajoin around the streets to project their voices. Kwanini, I know some comrades who were living with one meal in 24hrs. Majority who could afford at least 2 meals a day, their menu was purely kales na obokima. Haya maisha ni mabaya sana, then yanaongezewa ubaya!! Kwa kweli ke mna haki ya kumkataa zakayo. It's ironic that the politicians mistake the people's silence with a thinking that we are comfortable with their oppressive policies. This has to change, I wish Tanzanians had the same spirit. We are too tired, I believe one day this fkn oppression will come to an end. Imagine uhunye aliulizwa price ya mkate akasema ni thao, imagine gachagua alishindwa kumjibu the iron lady, Martha karua juu ya price ya loaf, these are our fkn leaders. Kweli politics is a dirty game.