Rais Ruto kushiriki mjadala na Wakenya kwenye X Space, Julai 5 kwa saa tatu

Sisi tunaomba X ifungwe! Watanzania sisi sijui nani aliwaloga viongozi wetu !
 
Well done wakati hujawasikiliza? Walifikaje hapo? Ruto kuongea Tu Jambo. GenZ wanataka vitendo (action).
mpaka kuondoa muswada wa sheria ya fedha bungeni sio kuskiza watu kweli ndrugo zango?

msikizwaje tena?
mishahara na posho vimepungzwa matumizi ya serikalini yamepunguzwa, mpaka mtolewe meno na damu ndio muone kwamba mmeskizwa jamani 🐒
 
Yet his being taken to ICC plays a significant role to his current behaviour and way of administration what makes him seem as a humble ever leader. He is very aware of what is likely to face him if mass killings happens there under his presidency.

On the other hand, Gen Z aint afraid of anything even death so Ruto must be humble enough to listen to them just to avoid further blood shading in the country.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…