Rais Ruto: Maadui wetu siyo Wakenya wala Watanzania, ni ajira na umasikini

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.

Pia soma Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju, wakija kwangu nachapa mikwaju

Rais Ruto amesisitiza kuwa Kenya na Tanzania hazigombani, bali zinakabiliwa na changamoto zinazofanana ambazo zinachelewesha ustawi wa wananchi wake:

"Tuko na maadui wengi, ndugu wa Tanzania, ndugu wa Kenya tuko na maadui wengi. Maadui wetu sio Wakenya, maadui wetu sio Watanzania. Maadui wetu ni ukosefu wa kazi na umaskini. Wacha nirudie. Ndugu wa Tanzania, Wakenya wenzangu, maadui wetu sio Watanzania ama Wakenya, maadui wetu ni kukosa ajira, umaskini na kukosa maendeleo"- Amesema Rais wa Kenya, William Samoel Ruto

The mindset of a true leader
 
Samia amejibiwa kiutu uzima na rais wa Jamhuri ya Kenya kuwa achana kujikita kuwasaka GenZ ili kuwaumiza wakati kuna mambo makubwa ya kutatua ukosefu wa ajira, kueelemewa na mzigo wa umasikini, hawawezi kulipia wazee wao bima yaa afya
 
Sana
 
Mnamuona mwamba wakati kaskazini mwa kenya watu wanaloweka mbegu za miti pori na kula kama chakula, ameshndwa kupeleka hata msaada wa chakula
Ana umindset gani?
 
Ruto anahutubia bunge la Tanzania kwa misingi gani, ujue anafanya lobbying ili mambo yao yapite bila kupingwa.
Muejemi ndio masta wa mchezo mzima, rais bepari anahutubia mjamaa, mwenye kichwa cha panzi,akili za chifu mangungu
 
Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.

Rais Ruto amesisitiza kuwa Kenya na Tanzania hazigombani, bali zinakabiliwa na changamoto zinazofanana ambazo zinachelewesha ustawi wa wananchi wake:

"Tuko na maadui wengi, ndugu wa Tanzania, ndugu wa Kenya tuko na maadui wengi. Maadui wetu sio Wakenya, maadui wetu sio Watanzania. Maadui wetu ni ukosefu wa kazi na umaskini. Wacha nirudie. Ndugu wa Tanzania, Wakenya wenzangu, maadui wetu sio Watanzania ama Wakenya, maadui wetu ni kukosa ajira, umaskini na kukosa maendeleo"- Amesema Rais wa Kenya, William Samoel Ruto

Kizimkazi’s fazafaka doesn’t buy that—she believes Gen Z is the enemy!
 
Back
Top Bottom