The mindset of a true leader"Tuko na maadui wengi, ndugu wa Tanzania, ndugu wa Kenya tuko na maadui wengi. Maadui wetu sio Wakenya, maadui wetu sio Watanzania. Maadui wetu ni ukosefu wa kazi na umaskini. Wacha nirudie. Ndugu wa Tanzania, Wakenya wenzangu, maadui wetu sio Watanzania ama Wakenya, maadui wetu ni kukosa ajira, umaskini na kukosa maendeleo"- Amesema Rais wa Kenya, William Samoel Ruto
Waulize wakenyaThe mindset of a true leader
SanaSamia amejibiwa kiutu uzima na rais wa Jamhuri ya Kenya kuwa achana kujikita kuwasaka GenZ ili kuwaumiza wakati kuna mambo makubwa ya kutatua ukosefu wa ajira, kueelemewa na mzigo wa umasikini, hawawezi kulipia wazee wao bima yaa afya
Muejemi ndio masta wa mchezo mzima, rais bepari anahutubia mjamaa, mwenye kichwa cha panzi,akili za chifu mangunguRuto anahutubia bunge la Tanzania kwa misingi gani, ujue anafanya lobbying ili mambo yao yapite bila kupingwa.
Kizimkazi’s fazafaka doesn’t buy that—she believes Gen Z is the enemy!Rais wa Kenya, William Samoei Ruto, leo Mei 5, 2026, amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza umuhimu wa ushirikiano wa kiuchumi na kuunganisha nguvu katika kupambana na changamoto zinazozikabili nchi zote mbili.
Rais Ruto amesisitiza kuwa Kenya na Tanzania hazigombani, bali zinakabiliwa na changamoto zinazofanana ambazo zinachelewesha ustawi wa wananchi wake:
"Tuko na maadui wengi, ndugu wa Tanzania, ndugu wa Kenya tuko na maadui wengi. Maadui wetu sio Wakenya, maadui wetu sio Watanzania. Maadui wetu ni ukosefu wa kazi na umaskini. Wacha nirudie. Ndugu wa Tanzania, Wakenya wenzangu, maadui wetu sio Watanzania ama Wakenya, maadui wetu ni kukosa ajira, umaskini na kukosa maendeleo"- Amesema Rais wa Kenya, William Samoel Ruto